Kocha wa club ya FC Barcelona mhispania Ernesto Valverde ameendeleza wimbi la matokeo mabovu baada ya kulazimishwa sare pacha na timu kutoka Czech Rep

Mike Moe

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
319
Reaction score
335
Kocha wa club ya FC Barcelona mhispania Ernesto Valverde ameendeleza wimbi la matokeo mabovu baada ya kulazimishwa sare pacha na timu kutoka Czech Republic ikifahamika kama Salvia Praha katika dimba lao la nyumbani la Camp Nou hii ni baada ya wikend iliyopita kupokea kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa club ya Levante hii inamuweka katika wakati mgumu kocha huyo kwani anaweza futwa kazi muda wowote kutoka hivi sasa
 
huyu mpumbavu huwa nashangaa mpaka leo yupo..
mwenzake niko kovac huko Bayern wamemfukuza.. barca tunasubiri nn???
 
Kocha wa club ya FC Barcelona mhispania Ernesto Valverde ameendeleza wimbi la matokeo mabovu baada ya kulazimishwa sare pacha na timu kutoka Czech Republic ikifahamika kama Salvia Praha katika dimba lao la nyumbani la Camp Nou hii ni baada ya wikend iliyopita kupokea kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa club ya Levante hii inamuweka katika wakati mgumu kocha huyo kwani anaweza futwa kazi muda wowote kutoka hivi sasa
Aondoke tu mam@e zake,
Ashanichania Sana mikeka huyu Jamaa.
 
Back
Top Bottom