Kocha wa CR Belouizdad Sven Vandenbroeck afutwa kazi

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
16,784
Reaction score
23,312
Kocha wa CR Belouizdad ambaye pia aliwahi kuifundisha Simba, Sven Vandenbroeck amefutwa kazi kwenye timu hiyo ambayo imepangwa kundi moja na yanga kwenye ligi ya mabingwa Afrika.

Kocha huyo amefukuzwa kutokana na kutokuwa na matokeo yanayoelewa ingawa wachunguzi wa Mambo wanasema sababu nyingine ni kuwaambia viongozi wake aliwahi kuifunga yanga goli 4 wakati viongozi wake wanataka kuifunga yanga goli 6 hivyo wakaona hawafai.
 
Chai ya moto

Kocha afukuzwe kisa kusema aliwahi kuifunga goli 4??

Viongozi wamfukuze kisa wanataka goli 6 na mechi bado haijachezwa bora ingekuwa ishachezwa
 
Mnafanya watu waliojiunga na JF waonekane Mazuzu wakati Mazuzu hamfiki 10.
 
Wenye Yanga yenu venye hampendi kuona timu yenu inadharauliwa
Nikishaacha kukwambia kuwa Mimi si shabiki wa Yanga, nimeacha uamini unachoamini. Lakini hebu tafuta comments zangu Kwa watu wa Yanga wanaoleta threads za kitoto.
 
Aahaaaa

Ameikimbia Yanga
 
Hukuwa na sababu ya kuyaweka hayo maneno yako ya mwishoni. Maana kwa kufanya hivyo, yanakuweka kwenye kundi moja na yule ndugu yako Popoma.
 
Kwa hyo utopolo anatakiwa apigwe kuanzia 6[emoji856][emoji856][emoji856][emoji856][emoji856] mtawaua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…