rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kocha wa CR Belouizdad ambaye pia aliwahi kuifundisha Simba, Sven Vandenbroeck amefutwa kazi kwenye timu hiyo ambayo imepangwa kundi moja na yanga kwenye ligi ya mabingwa Afrika.
Kocha huyo amefukuzwa kutokana na kutokuwa na matokeo yanayoelewa ingawa wachunguzi wa Mambo wanasema sababu nyingine ni kuwaambia viongozi wake aliwahi kuifunga yanga goli 4 wakati viongozi wake wanataka kuifunga yanga goli 6 hivyo wakaona hawafai.