Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,025
- 1,270
CV zake zikoje kimataifa?
MAGUFULI4LIFE.
Utopolo wana mahaba kwa Simba kuliko timu yao, kwenye mechi zao hawajai kama wanavyojaa za Simba lakini kwenye page za Simba wao ndio wanaongoza kwa kucomment iliyobaki tuwavue madela nq kuwavisha jezi zetu.Usimba na Uyanga Ni ugonjwa hivi unawazaje kuamini uwezo wa Sven ukadharau uwezo wa kocha mzoefu Kama Didier com on guys ifike mahali tue tunaheshimu taalamu za watu ata Kama utani wa jadi upo lakini usivuke mipaka.Mtu anauliza eti hofu yake wachezaji kufundishika Kwan before hawakua na kocha wa aina hii? Nonsense
Nyie fainali zenu mnazofikaga ni zipi?Uwezo wenu ni kufika fainali ya Mapinduzi Cup na Azam Ferderation Cup tu. Huko kwingine mtaishia tu kuchungulia.
Hata muamue kuyajaza yale mapaka yenu uwanja mzima, bado ngoma ni mbichi.
Wewe uwezo wako ni kufika wapi ?Uwezo wenu ni kufika fainali ya Mapinduzi Cup na Azam Ferderation Cup tu. Huko kwingine mtaishia tu kuchungulia.
Hata muamue kuyajaza yale mapaka yenu uwanja mzima, bado ngoma ni mbichi.
Robo fainal champions league sawa na fainal mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]Nyie fainali zenu mnazofikaga ni zipi?
Mfaranza na Portuguese wapi na wapi? Didier ni kutoka France.Hapo mickson ndy ataenjoy coz wote wanaongea portuguese