Kocha wa El Merreikh ya Sudan kujiunga Simba

Kocha wa El Merreikh ya Sudan kujiunga Simba

IMG_20210124_130749.jpg
 
Nimeona CV yake hata tofauti na Luc Eymel alietimuliwa na Yanga kipind kile

Didier hukaa na team moja for less than 2 years

Didier katika vilabu alivyopita vingi ametimuliwa kwa matokeo mabaya

Mafanikio makubwa aliopata ni kuifikisha Ismailiya semi final ya Arab Cup

Mjumbe aliependekeza jina la Didier nahisi atakuwa kahongwa na GSM maana anaonekana ni kocha wa kawaida tu
 
MY WORRY IS WACHEZAJI WETU WANAFUNDISHIKA? na kuachana na dhana ya kucheza kama wako katika viwanja vya michangani? ukorofi kujua kwingi bang nyingi wataacha? thats alls
 
Usimba na Uyanga Ni ugonjwa hivi unawazaje kuamini uwezo wa Sven ukadharau uwezo wa kocha mzoefu Kama Didier com on guys ifike mahali tue tunaheshimu taalamu za watu ata Kama utani wa jadi upo lakini usivuke mipaka.Mtu anauliza eti hofu yake wachezaji kufundishika Kwan before hawakua na kocha wa aina hii? Nonsense
 
Utopolo wana mahaba kwa Simba kuliko timu yao, kwenye mechi zao hawajai kama wanavyojaa za Simba lakini kwenye page za Simba wao ndio wanaongoza kwa kucomment iliyobaki tuwavue madela nq kuwavisha jezi zetu.
 
Uwezo wenu ni kufika fainali ya Mapinduzi Cup na Azam Ferderation Cup tu. Huko kwingine mtaishia tu kuchungulia.

Hata muamue kuyajaza yale mapaka yenu uwanja mzima, bado ngoma ni mbichi.
Wewe uwezo wako ni kufika wapi ?
 
Back
Top Bottom