Kocha wa El Merreikh ya Sudan kujiunga Simba

Kocha wa El Merreikh ya Sudan kujiunga Simba

[emoji28][emoji28][emoji28]kesho utasikia Mikel Arteta ametuma CV Simba
imesaidia sana kufanya simba inaongelewa mitandaoni ungekuwa una interact page za football facebook ungeelewa ninachosema ,alivyoondoka sven ilikuw a bonge la news nakuhakikishia kama mwambusi angekuwa simba halafu kaondoka shughuli ungesikia all over africa
 
Ili ni bonge la kocha,kwanza vimacho vyake tu kama Messi.kudadadeki[emoji23]
 
Kama ni tetesi basi na Mwambusi ndio anatarajiwa kuwa Kocha msaidizi huko Msimbazi
 
Simba club kubwa sana. Ni level za akina Louis Van Gaal hata awe wa Buza. Akina Sven Goram Ericsson hara awe wa Keko Tololi.
Simba Guvu Moja
 
Kocha wa makipa tayari uko


Screenshot_2021-01-23_185915.jpeg
 
Huyu kumbe alishawahi kuwa kocha wa Ismailia ya Misri, duh bonge la kocha!!
 

Huyu Mkufunzi profile yake IPO vizuri sana, sidhani kama wekundu wa Msimbazi wanaweza kumleta Kocha wa kiwango chake. Hebu tusubiri tuone.
 
Licha ya kutokuwa na Mafanikio makubwa pia Didier Gomes Da Rosa ni Kirugu na Njia muda wote anasepa. Simba SC Tafuteni kocha mwingine!
 
Tunataka tufike FINAL CL Africa!!
Uwezo wenu ni kufika fainali ya Mapinduzi Cup na Azam Ferderation Cup tu. Huko kwingine mtaishia tu kuchungulia.

Hata muamue kuyajaza yale mapaka yenu uwanja mzima, bado ngoma ni mbichi.
 
Back
Top Bottom