Kocha wa Everton afukuzwa kazi.

Kocha wa Everton afukuzwa kazi.

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Kocha wa Everton Koeman katupiwa Virago na klabu yake kutokana na matokeo mabovu.

Mholanzi huyu alifanya vyema akiwa na Southmpton ila Everton imemshinda.

Kwa heri Koeman Everton
 
Baada ya kupigwa kwenye Europa hiki kitu nilikua nakitegema na kipigo cha jana cha arsenal ndio kimeharbu kila kitu
 
Bora kabisa maana nilikuwa nahuzunika matokeo mabovu ya Everton
 
Baada ya kupigwa kwenye Europa hiki kitu nilikua nakitegema na kipigo cha jana cha arsenal ndio kimeharbu kila kitu
Na timu imesajili kweli
Anzia Keane,Rooney,Sirgduson,hawana matokeo mazuri kwa kweli.
 
Bora kabisa maana nilikuwa nahuzunika matokeo mabovu ya Everton
Sio kawaida ya Everton.

Bora hata kipindi cha Moyes timu ilikua hot Koeman msimu huu kaharibu sana
 
Everton haijawahi kushuka daraja, naona menejimenti imepata hofu maana hali yao msimu huu ni mbaya sana.
 
Sio kawaida ya Everton.

Bora hata kipindi cha Moyes timu ilikua hot Koeman msimu huu kaharibu sana
Yeah yaani wameboronga sana, kwanza wamefanya usajili mkubwa sana, pia hata historia inawabeba ndio timu ambayo haijawahi shuka ligi kuu katika timu zote uingereza
 
Huyu ni kati ya makocha wanaopendeza sana kwa kuvaa suti , lakini kwa bahati mbaya sana SOKA SI MAONYESHO YA MAVAZI .
 
Everton imekuwa pitio sana...
Ila wanunue replac ya Lukaku haraka
.. Rooney anapewa jukumu zito wkt umri+uwezo hauruhusu
 
Huyu kocha koeman alikubali vipi Everton ije Tanzania?? si mnakimbuka kipindi kile Brazil ilivyokuja hapa bongo baada ya hapo nuksi iliyowapata kule South Africa kwenye world cup hawataisahau, Tanzania sio sehemu ya pre - season kwa heri kocha wa Everton.
Zaidi ya hilo kuna kitu pia nimeona

Hizi timu zenye udhamini toka Afrika nyingi zinashuka daraja

Hull city,Sunderland wote chali
 
Everton imekuwa pitio sana...
Ila wanunue replac ya Lukaku haraka
.. Rooney anapewa jukumu zito wkt umri+uwezo hauruhusu
Ila wamesajili sana Ndugu

Martina,Rooney,Gueye,Keane,Willians et al nafikiri kocha kakosa muunganiko mzuri tu wa timu
 
Huyu kocha koeman alikubali vipi Everton ije Tanzania?? si mnakimbuka kipindi kile Brazil ilivyokuja hapa bongo baada ya hapo nuksi iliyowapata kule South Africa kwenye world cup hawataisahau, Tanzania sio sehemu ya pre - season kwa heri kocha wa Everton.

Haloo!! Hii dhambi haitakuacha salama mkuu!!
 
Back
Top Bottom