Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah yaani wameboronga sana, kwanza wamefanya usajili mkubwa sana, pia hata historia inawabeba ndio timu ambayo haijawahi shuka ligi kuu katika timu zote uingerezaSio kawaida ya Everton.
Bora hata kipindi cha Moyes timu ilikua hot Koeman msimu huu kaharibu sana
Zaidi ya hilo kuna kitu pia nimeonaHuyu kocha koeman alikubali vipi Everton ije Tanzania?? si mnakimbuka kipindi kile Brazil ilivyokuja hapa bongo baada ya hapo nuksi iliyowapata kule South Africa kwenye world cup hawataisahau, Tanzania sio sehemu ya pre - season kwa heri kocha wa Everton.
[emoji12] wabongo!!!Huyu ni kati ya makocha wanaopendeza sana kwa kuvaa suti , lakini kwa bahati mbaya sana SOKA SI MAONYESHO YA MAVAZI .
Ila wamesajili sana NduguEverton imekuwa pitio sana...
Ila wanunue replac ya Lukaku haraka
.. Rooney anapewa jukumu zito wkt umri+uwezo hauruhusu
Wabongo wamefanyaje tena mjomba ?[emoji12] wabongo!!!
Huyu kocha koeman alikubali vipi Everton ije Tanzania?? si mnakimbuka kipindi kile Brazil ilivyokuja hapa bongo baada ya hapo nuksi iliyowapata kule South Africa kwenye world cup hawataisahau, Tanzania sio sehemu ya pre - season kwa heri kocha wa Everton.