Kocha wa Geita Gold afungiwa mechi 16 kwa kumshika sehemu za siri mwamuzi

Kocha wa Geita Gold afungiwa mechi 16 kwa kumshika sehemu za siri mwamuzi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Kocha wa makipa wa klabu ya Gita Gold, Augustino Malindi amefungiwa michezo 16 (kumi na sita) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kumshika sehemu za siri wamuzi wa akiba wa mchezo tajwa hapo juu.
IMG_2138.jpeg

Baada ya kuonywa kwa kadi nyekundu kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi namba moja (1) wa mchezo huo.

Kocha huyo alitenda kosa lingine akiwa anakwenda vyumbani baada ya kuonywa kwa kadi, kwa kumshika kifuani mratibu wa mchezo huo (GC) ambaye ni mwanamke jambo ambalo ni kinyume na maadili ya ukocha na mpira wa miguu kwa ujumla.

Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 45:2(2.1) ya Ligi ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Makocha.

Pia kocha Augustino Malindi amefungiwa michezo mitatu (3) a kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi namba moja (1) wa mchezo huo jambo lililosababisha aonywe kwa kadi nyekundu.

Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 45:2(2.11) ya Ligi ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Makocha.
 
Kifuani sio sehemu za siri acha kuandika hovyo.Na kama imethibitika alifanya hivyo makusudi/kwa kudhamiria hiyo adhabu haitoshi maana inaangukia kwenye kosa la udhalilishaji,tuwe serious kwenye makosa yenye muelekeo huo.
 
Wanawake wachezeshe game za kike, unaweza kumgusa kifua aidha kwa kumsukuma ama kumpiga piga kifuani kwa maana nyingi "wewe huniambii kitu" ama ukiwa unamfariji etc, kwa sisi wa kiume sio kesi, ila mwanamke ataona umemshika NYONYO
Vichaa ni wengi sana humu jf.
Halafu mwanaume wa kweli hafanyi huo ujinga tatizo mashoga mmekuwa wengi sana.Maana ni ajabu mwanaume wa kweli kumuonea wivu mwanamke,eti wachezeshe game za kike..pathetic

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Adhabu ndogo Sana hiyo....

Kwa kiongozi ambaye kwa Tafsiri yoyote anatakiwa awe ni mfano mzuri alitakiwa afungiwe hata miaka mitatu...
 
Kocha wa makipa wa klabu ya Gita Gold, Augustino Malindi amefungiwa michezo 16 (kumi na sita) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kumshika sehemu za siri wamuzi wa akiba wa mchezo tajwa hapo juu.
View attachment 3188420
Baada ya kuonywa kwa kadi nyekundu kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi namba moja (1) wa mchezo huo.

Kocha huyo alitenda kosa lingine akiwa anakwenda vyumbani baada ya kuonywa kwa kadi, kwa kumshika kifuani mratibu wa mchezo huo (GC) ambaye ni mwanamke jambo ambalo ni kinyume na maadili ya ukocha na mpira wa miguu kwa ujumla.

Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 45:2(2.1) ya Ligi ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Makocha.

Pia kocha Augustino Malindi amefungiwa michezo mitatu (3) a kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi namba moja (1) wa mchezo huo jambo lililosababisha aonywe kwa kadi nyekundu.

Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 45:2(2.11) ya Ligi ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Makocha.
SASAAAA UNAMLETA ANA NYEFE UNATAKA NN

KAMA MDADA WA MECHI YA SIMBAA NA SINGIDA NINGEKUWA MM NINGEMPIGA FINGER NZURI TU NAELEKEA NJE KABLA YA REFA KUNGUSA
 
ni utamaduni wa wazulu , waswatini na watswana wanawake kutembea kifua wazi kwa Ajili ya kutambia miili Yao Kama unavyoona mabaunsa
Naelewa ila hata wafanyapo hivyo hata wenzao wa makabila mengine Ya huko Botswana na South africa au hata Waafrica wenzao wengine huwashangaa... hiyo ni moja kwa moja inakupa picha kwamba sio kitu cha kawaida.
 
Back
Top Bottom