Ausar
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 2,369
- 3,800
Aah kifuani.....nilijua kapima oil kabisa........kifuani inawezekana alimaind akataka kumpiga kabali sema ndo hivyo yamekua mengine,,,,,,sema hii kitu kwa Afrika itaendelea kuleta tu shida hao wamama wapelekwe tu kwenye michezo ya wamama wenzao mpira wa miguu una wahuni wengi sana sio vijana tu wengine ni wazee,,, kocha midadi inaweza ikapanda akamshushia tusi la kishkaji refa hapo angekua mwanaume anaweza akapeta tu sasa unakuta hilo tusi linamfikia mmama unajikuta umefungiwa mechi mwaka mzima