Kocha wa Geita Gold afungiwa mechi 16 kwa kumshika sehemu za siri mwamuzi

Aah kifuani.....nilijua kapima oil kabisa........kifuani inawezekana alimaind akataka kumpiga kabali sema ndo hivyo yamekua mengine,,,,,,sema hii kitu kwa Afrika itaendelea kuleta tu shida hao wamama wapelekwe tu kwenye michezo ya wamama wenzao mpira wa miguu una wahuni wengi sana sio vijana tu wengine ni wazee,,, kocha midadi inaweza ikapanda akamshushia tusi la kishkaji refa hapo angekua mwanaume anaweza akapeta tu sasa unakuta hilo tusi linamfikia mmama unajikuta umefungiwa mechi mwaka mzima
 
Kocha wa makipa wa klabu ya Gita Gold, Augustino Malindi amefungiwa michezo 16 (kumi na sita) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kumshika sehemu za siri wamuzi wa akiba wa mchezo tajwa hapo juu.
View attachment 3188420
Baada ya kuonywa kwa kadi nyekundu kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi namba moja (1) wa mchezo huo.

Kocha huyo alitenda kosa lingine akiwa anakwenda vyumbani baada ya kuonywa kwa kadi, kwa kumshika kifuani mratibu wa mchezo huo (GC) ambaye ni mwanamke jambo ambalo ni kinyume na maadili ya ukocha na mpira wa miguu kwa ujumla.

Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 45:2(2.1) ya Ligi ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Makocha.

Pia kocha Augustino Malindi amefungiwa michezo mitatu (3) a kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi namba moja (1) wa mchezo huo jambo lililosababisha aonywe kwa kadi nyekundu.

Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 45:2(2.11) ya Ligi ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Makocha.
Mechi 16 kitu gani ilhali bado ataendelea kujihusisha na mambo ya mpira? Adhabu nyepesi kama hizi ndizo zinapelekea makocha wakose nidhamu kwa marefa. Ilitakiwa huyu afungiwe sio chini ya miaka 2 asijihusishe na mpira kabisa ili liwe fundisho kwa washenzy wengine kama yeye.
 
Kocha wa makipa wa klabu ya Gita Gold, Augustino Malindi amefungiwa michezo 16 (kumi na sita) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kumshika sehemu za siri wamuzi wa akiba wa mchezo tajwa hapo juu.
View attachment 3188420
Baada ya kuonywa kwa kadi nyekundu kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi namba moja (1) wa mchezo huo.

Kocha huyo alitenda kosa lingine akiwa anakwenda vyumbani baada ya kuonywa kwa kadi, kwa kumshika kifuani mratibu wa mchezo huo (GC) ambaye ni mwanamke jambo ambalo ni kinyume na maadili ya ukocha na mpira wa miguu kwa ujumla.

Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 45:2(2.1) ya Ligi ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Makocha.

Pia kocha Augustino Malindi amefungiwa michezo mitatu (3) a kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi namba moja (1) wa mchezo huo jambo lililosababisha aonywe kwa kadi nyekundu.

Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 45:2(2.11) ya Ligi ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Makocha.
Duh. Aombe yaishe huo huko kwenye michezo. Hilo ni kosa la ubakaji kama kumkonyeza mwanamke.
 
Acheni zenu nyie. Siku hizi sehemu za Siri ni BANDAMA, MAINI,FIGO na MAPAFU tuu. Kocha ameonewa kwa Sheria za kipimbi.
 
Timu ya wahuni hiyo, huwezi mwajiri mtu wa sampuli hii.
 
Kocha wa makipa wa klabu ya Gita Gold, Augustino Malindi amefungiwa michezo 16 (kumi na sita) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kumshika sehemu za siri wamuzi wa akiba wa mchezo tajwa hapo juu.
View attachment 3188420
Baada ya kuonywa kwa kadi nyekundu kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi namba moja (1) wa mchezo huo.

Kocha huyo alitenda kosa lingine akiwa anakwenda vyumbani baada ya kuonywa kwa kadi, kwa kumshika kifuani mratibu wa mchezo huo (GC) ambaye ni mwanamke jambo ambalo ni kinyume na maadili ya ukocha na mpira wa miguu kwa ujumla.

Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 45:2(2.1) ya Ligi ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Makocha.

Pia kocha Augustino Malindi amefungiwa michezo mitatu (3) a kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi namba moja (1) wa mchezo huo jambo lililosababisha aonywe kwa kadi nyekundu.

Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 45:2(2.11) ya Ligi ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Makocha.
Huyu alipaswa kufungiwa maisha
 
Vichaa ni wengi sana humu jf.
Halafu mwanaume wa kweli hafanyi huo ujinga tatizo mashoga mmekuwa wengi sana.Maana ni ajabu mwanaume wa kweli kumuonea wivu mwanamke,eti wachezeshe game za kike..pathetic

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mbona umeandika kama huna PUMBU?
Makasiriko ya nini, kila mtu na maoni yake.
Machoko ndio mnatabia za kukasirika kasirika hovyo.
Kwahiyo mie kusema WANAWAKE wenzio wakachezeshe ligi za kwenu huko umekasirika unakuja na OMO.

🤣😂
 
[emoji1787][emoji23]
Ndiyo kazi unaiweza!

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wachezeshe mechi zao si wana ligi yao??
Mimi mwenyewe nakerwa sana na hiki kitendo cha kulazimisha wanawake kuchezesha mechi za wanaume.Mpira unakosa ladha. Wanawake wa deal na majukumu yao na siyo vinginevyo.
 
Kocha wa makipa wa klabu ya Gita Gold, Augustino Malindi amefungiwa michezo 16 (kumi na sita) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kumshika sehemu za siri wamuzi wa akiba wa mchezo tajwa hapo juu.
View attachment 3188420
Baada ya kuonywa kwa kadi nyekundu kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi namba moja (1) wa mchezo huo.

Kocha huyo alitenda kosa lingine akiwa anakwenda vyumbani baada ya kuonywa kwa kadi, kwa kumshika kifuani mratibu wa mchezo huo (GC) ambaye ni mwanamke jambo ambalo ni kinyume na maadili ya ukocha na mpira wa miguu kwa ujumla.

Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 45:2(2.1) ya Ligi ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Makocha.

Pia kocha Augustino Malindi amefungiwa michezo mitatu (3) a kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi namba moja (1) wa mchezo huo jambo lililosababisha aonywe kwa kadi nyekundu.

Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 45:2(2.11) ya Ligi ya Championship kuhusu Udhibiti kwa Makocha.
Kumshika mwanamke sehemu za siri its criminal anatakiwa apelekwe mahakamani tu ,wahuni hatuwataki kwenye mpira
 
Mbona Brazil na Argentina kuna marefa wengi sana wa kike wanaochezesha ligi za wanaume lakini hawafanyiwi udhalilishaji?
SIo huko tu duniani kote kuna marefa wanawake wanachezesha mechi za wanaume hata hapo uingereza tu
 
Back
Top Bottom