SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Kama tu mshahara kulipa ni mlima, wataweza kweli kuvunja mkataba? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]"If the federation wants to fire me, let them fire me but again if paying my salary is an issue, will they manage to pay out my contract?"
Dah, dharau hizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakenya wanapiga mpaka kontena la misaadaDaah cjui wekenya wanakwama WAP wana export mafuta nje na watalii kila cku. Wanapishana kuingia kupanda Kilimanjaro na kununua tanzanite
Wewe ni kichaa sana, unapofukuzwa kazi, lazima ulipwe haki zako zote, kabla Amunike hahaondoka Tanzania, alilipwa pesa yake yote, yaani malimbikizo ya madai ya nyuma na pesa ya kuvunja mkataba, na gharama zote za usafiri kurudi kwao Nigeria.Kila siku hua unafikia kiwango kipya Cha wazimu!!!!!
Kocha mlie mfuta kazi , mlikua hamjalipa kwa miezi mitatu , kama mko na hela mbona hamkua mnamlipa??? Ndo maana kule Afcon hamkushinda tiny yoyote .... https://www.facebook.com/
Unafaa uelewe kwamba huyo kocha wa Kenya pia hajalipwa mshahara, kwahivyo anasema kama FKF inashindwa kumlipa mshahara, itaweza kumlipa fine (ambayo ni kubwa kuliko huo mshahara) wakivunja kandarasi?
Sasa wewe umechukua hio story na kuongeza yako kama mwendawazimu Wakati huyo kocha wenu mliemfuta kazi Bado hamjalipa mshahara wake na tayari mlisha mfukuza na kuendeleza udikteta wenu...
Waziri wenu anasema hamkumlipa, let's ushahidi kama mlimlipa na si kunitungia story za vijiweni kama kawaida.......Wewe ni kichaa sana, unapofukuzwa kazi, lazima ulipwe haki zako zote, kabla Amunike hahaondoka Tanzania, alilipwa pesa yake yote, yaani malimbikizo ya madai ya nyuma na pesa ya kuvunja mkataba, na gharama zote za usafiri kurudi kwao Nigeria.
Kenya hamna uwezo wa kulipa hizo gharama zote kwa pamoja ndio sababu huyo kocha anawadharau na kuwadhalilisha, hilo haliwezi kutokea Tanzania kwasababu tunayo pesa yetu mkononi, mambo Mengi tunafanya kwa kutumia pesa pesa yetu, sio ninyi pumbavu kila kitu hadi mkopo.
Kwahiyo kwasababu mnaogopa kulipa 50M, mumechagua kudhalilishwa na kufedheheshwa na huyo Mzungu?, heri lawama kuliko fedhea. Kenya hamna pesa ya kumlipa, na yeye analijua hilo ndio sababu anawadharau na kuwatukana kila siku.Waziri wenu anasema hamkumlipa, let's ushahidi kama mlimlipa na si kunitungia story za vijiweni kama kawaida.......
Kabla huyu Migne, kocha aliemtangulia tulikfuta kabla kandarasi iishe na ikatulazimu tumlipe sh60m, Sasa FKF wakimfuta huyu tutamlipa Sh50m, labda Migne ameangalia historian ya makocha na anataka afutwe ili apewe hio Sh50m kwa mpigo... manake mwaka Jana Migne alikua anatishia kujihuzulu kama hatakua analipwa mshahara on time, Sasa eti amegeuza mwendo hataki kubanduka....
Mkuu wa FKF naye anajua akimfuta Migne na amlipe hio Sh50m, yeye ndo atakua next kufutwa kwa kupoteza zaidi ya sh100m pesa za walipa Kodi kwakutuletea makocha ambao hawakuleta tofauti yoyote...
Previous two coaches wote waliofutwa kabla contract iishe
----------Kenya: To Fire or Not Fire? FKF's Sh 50 Million Dilemma of Terminating Migne's Contract
Football Kenya Federation (FKF) will be forced to cough Sh50 million to Harambee Stars coach Sebastian Migne in the event they terminate his contract, Nairobi News understands.allafrica.com
Migne signed a three-year contract in May 2018, which binds him to qualify the senior national team for the 2021 Africa Cup of Nations.
FKF meanwhile will have to be wary of how they deal with Migne, considering they have in recent times been forced to pay former coach Adel Amrouche close to Sh60 million for unfair dismissal. Another case involving former coach Bobby Williamson is still in the courts.
Let's ushahidi kwamba mlimlipa kocha mlie mfuta kazi, wacha story nyingi.Kwahiyo kwasababu mnaogopa kulipa 50M, mumechagua kudhalilishwa na kufedheheshwa na huyo Mzungu?, heri lawama kuliko fedhea. Kenya hamna pesa ya kumlipa, na yeye analijua hilo ndio sababu anawadharau na kuwatukana kila siku.
Kwa upande mwengine inaeza kuwa ni wewe kama muafrica mweusi unajichukia/jidharau na kujiweka chini kiasi cha kua mzungu akisema lolote basi unaona amekutukana (inaitwa inferiority complex) ....Wanapenda wazungu kuliko wanavyo jipenda
Jibu swali, ninyi mnadhalilishwa kwasababu mumeshindwa kulipa 50M?, hii ni aibu kwa nchi yenu.Let's ushahidi kwamba mlimlipa kocha mlie mfuta kazi, wacha story nyingi.
Unaweza ukawa na uchumi mzuri lakini kiupande wa footbal mkawa na hali ngumuMabeberu watawamaliza .wenyew wanakuambia East Africa wako juu kwa economy[emoji4][emoji4]
Acha Maneno mingi, huyo kocha amesema hamuwezi kumfukuza kwasababu hamna uwezo wa kulipa gharama za kuvunja mkataba. Hii ni dharau sana kwa nchi kudhalilishwa kwa sababu ya 50M.Kwa upande mwengine inaeza kuwa ni wewe kama muafrica mweusi unajichukia/jidharau na kujiweka chini kiasi cha kua mzungu akisema lolote basi unaona amekutukana (inaitwa inferiority complex) ....
Nina uhakika kama huyo kocha angekua ametoka Ghana au Congo na aseme hivyo haingekua issue kwenu mngepita kimya kimya lakini kwavile ni mzungu basi ni dharau, racist..etc Kwasababu ni mweupe????
Inapofikia hatua ya heshima kwa Taifa, lazima serikali iingilie kati. Kenya hakuna sehemu isiyo na hali ngumu.Unaweza ukawa na uchumi mzuri lakini kiupande wa footbal mkawa na hali ngumu
Sasa umekua ukiimba hapa kwamba hatuna pesa na umeshindwa kuleta ushadi kwamba mlimlipa kocha wenu wa kitambo ...Acha Maneno mingi, huyo kocha amesema hamuwezi kumfukuza kwasababu hamna uwezo wa kulipa gharama za kuvunja mkataba. Hii ni dharau sana kwa nchi kudhalilishwa kwa sababu ya 50M.
Usidanganyike we' mdanganyika. Kwa upande wa michezo Kenya ndiye King, hana mpinzani EA.Unaweza ukawa na uchumi mzuri lakini kiupande wa footbal mkawa na hali ngumu
Tunazungumzia huyu kocha wa sasa ambaye anawadhalilisha kila siku, huyo mliyemlipa sina uhakika kama aliwadhalilisha, sasa kwasababu huyo wa kitambo mlimlipa kwahiyo huyu wa sasa akiendelea kuwadhalilisha kwenu hamuoni shida?. Kinachoniuma ni kuona nchi yenu inadhalilishwa kwasababu ya 50M, "it pains very much".Sasa umekua ukiimba hapa kwamba hatuna pesa na umeshindwa kuleta ushadi kwamba mlimlipa kocha wenu wa kitambo ...
Mimi nilisha kuonyesha kocha wa kitambo tulimlipa sh60m, kwahivyo so far ni Tanzania ndo haina pesa!
Sina uwezo wa kukujibu.Usidanganyike we' mdanganyika. Kwa upande wa michezo Kenya ndiye King, hana mpinzani EA.
.Riadha
.Mchezo wa raga
.Mpira wa kikapu
.Mpira wa wavu
.Soka n.k
.....
, Kenyans have higher quality of life than other East Africans
_-------
Nilijua tu 😊 Lazima utaninukuu.Sina uwezo wa kukujibu.