Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Haaaa hasa jamaa ana ule ushamba wa kikenya...mungiki has got no swaggzKipindi kile ulivyo weka picha umevaa suti tulikupa darasa uka elewa somo. Sasa na leo chukua hili, bracelet na saa ziki valiwa mkono mmoja inakua uchafu. Usipende kuzidisha kwenye kutupia madini, inaondoa mvuto.
Kweli bongo ni masikini wala hakuna ubishi hapo, lakini huyo Kocha kaonyesha dharau kwa hayo maneno, sijui itakuwa gharama kiasi gani kuvunja kataba wake ila sometimes heshima ya nchi ni bora ikaangaliwa piaKila siku hua unafikia kiwango kipya Cha wazimu!!!!!
Kocha mlie mfuta kazi , mlikua hamjalipa kwa miezi mitatu , kama mko na hela mbona hamkua mnamlipa??? Ndo maana kule Afcon hamkushinda tiny yoyote .... https://www.facebook.com/
Unafaa uelewe kwamba huyo kocha wa Kenya pia hajalipwa mshahara, kwahivyo anasema kama FKF inashindwa kumlipa mshahara, itaweza kumlipa fine (ambayo ni kubwa kuliko huo mshahara) wakivunja kandarasi?
Sasa wewe umechukua hio story na kuongeza yako kama mwendawazimu Wakati huyo kocha wenu mliemfuta kazi Bado hamjalipa mshahara wake na tayari mlisha mfukuza na kuendeleza udikteta wenu...
Kipindi kile ulivyo weka picha umevaa suti tulikupa darasa uka elewa somo. Sasa na leo chukua hili, bracelet na saa ziki valiwa mkono mmoja inakua uchafu. Usipende kuzidisha kwenye kutupia madini, inaondoa mvuto.
Haaaa hasa jamaa ana ule ushamba wa kikenya...mungiki has got no swaggz
Good! Bora yako kuliko wakina Mwasiti wana lala kwenye mabanda uko Nai. Next time vaa bracelet mkono wa kulia! Hivi dogo hupo Mombasa? Kuna ishu nataka kutoka jamaa wa Steelex, kama hupo Msa unaeza nisaidia.Heheeee...sasawa, nimekuskia mlezi....ila ni vya kwangu..so nitavaa nipendavyo...
Jaribu na wewe kijana wako ajitume...sio ji mtu lina miaka 25 bado wapagawa na vitu vya dingire...baba hatokupa kile unachotaka kila siku..kwnza kw umri huu nlionao..waache dada zangu wa enjou kw sasa...mimi atakuwa aki ni boost tu mahali yenye nakwama...sio kila akiingia akitoka anakuona kw makochi yaje wachat hku ukitumia wi-fi yake tena nyumbani kwake...mara usha host bash...vijana tuamke..
Kwanza hapo kw suti usinigusie.. sipendi kuvaa suti mimi..wacha tu...
Itakuwa wanamkopa sanaWakati Tanzania ikifanya vile ipendavyo kutokana na uwezo wake mkubwa wa pesa, kama vile kuvunja mkataba na kocha wake Emmanuel Amunike na kumlipa pesa yake yote baada ya matokeo mabaya katika mashindano ya AFCON huko Misri, majirani zao wa Kenya inaonekana kutoweza kumfanya lolote kocha wao pamoja na matokeo mabovu ya AFCON na kutolewa na Taifa stars katika mashindani ya CHAN, huku kocha huyo akitoa maneno ya dharau kwa Kenya, kwamba haina uwezo wa kumtimua kwasababu Kenya ni masikini sana haiwezi kulipa gharama za kuvunja mkataba wake.Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports | HOME
Nation.Africa brings the Latest News from Kenya, Africa and the World. Get live news and latest stories from Politics, Business, Technology, Sports and more.www.nation.co.ke
Huu ni muendelezo wa Kenya kushindwa kufanya maamuzi ya nchi yao kutokana na kukosa pesa yao ya ndani hivyo kutegemea pesa za mkopo, mambo yanayoifanya Kenya kudhalilishwa na wachina Mara kadhaa kama vile kuitwa "Nyani", kupewa msaada wa makopo ya bia katika jamii zinazokumbwa na njaa badala ya chakula, kuchapwa viboko wafanyakazi wakenya katika mradi wa SGR, na kunyimwa pesa ya kuifikisha SGR Malaba, badala yake kuishia porini.
Looks like Inyenzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unafikiria mm ni wale vijana wa dar wanaishi kwao mpka wanaota midevu...punguza jazba...nihifadhie kijana wangu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]jamaa langu la kumbu kumbuUtaumia sana na maisha yangu kaka...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hyo hapo fake silver...nihifadhieView attachment 1176889
Wakati Tanzania ikifanya vile ipendavyo kutokana na uwezo wake mkubwa wa pesa, kama vile kuvunja mkataba na kocha wake Emmanuel Amunike na kumlipa pesa yake yote baada ya matokeo mabaya katika mashindano ya AFCON huko Misri, majirani zao wa Kenya inaonekana kutoweza kumfanya lolote kocha wao pamoja na matokeo mabovu ya AFCON na kutolewa na Taifa stars katika mashindani ya CHAN, huku kocha huyo akitoa maneno ya dharau kwa Kenya, kwamba haina uwezo wa kumtimua kwasababu Kenya ni masikini sana haiwezi kulipa gharama za kuvunja mkataba wake.Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports | HOME
Nation.Africa brings the Latest News from Kenya, Africa and the World. Get live news and latest stories from Politics, Business, Technology, Sports and more.www.nation.co.ke
Huu ni muendelezo wa Kenya kushindwa kufanya maamuzi ya nchi yao kutokana na kukosa pesa yao ya ndani hivyo kutegemea pesa za mkopo, mambo yanayoifanya Kenya kudhalilishwa na wachina Mara kadhaa kama vile kuitwa "Nyani", kupewa msaada wa makopo ya bia katika jamii zinazokumbwa na njaa badala ya chakula, kuchapwa viboko wafanyakazi wakenya katika mradi wa SGR, na kunyimwa pesa ya kuifikisha SGR Malaba, badala yake kuishia porini.
What do you mean stupid?Aisee wee jamaa ni insane!
Hawa watu hawatumii akili.Common sense tu, sasa angeondokaje bila ya kulipwa.
Kwa common sense yako bro mtu anaweza kuondoka pasi na kulipwa ??!!!!!!!Kutoka kwa waziri wenu , kocha wenu mlimfukuza na hamkumlipa chochote
https://www.facebook.com/
Waziri wenu alisema hajalipwa! hadi wa leo hamjaleta ushahidi kupinga hilo... Alafu hakuondoka kwa hiari yake, Alifutwa kazi....Kwa common sense yako bro mtu anaweza kuondoka pasi na kulipwa ??!!!!!!!
Duh unasikitisha wewe.
Ni vigumu kuondoka mtu pasi na kulipwa maden yake.
Yule kalipwa ndio kaondoka.
Maneno ya wazir ni ya waziri.Waziri wenu alisema hajalipwa! hadi wa leo hamjaleta ushahidi kupinga hilo... Alafu hakuondoka kwa hiari yake, Alifutwa kazi....