Nation.Africa brings the Latest News from Kenya, Africa and the World. Get live news and latest stories from Politics, Business, Technology, Sports and more.
www.nation.co.ke
Wakati Tanzania ikifanya vile ipendavyo kutokana na uwezo wake mkubwa wa pesa, kama vile kuvunja mkataba na kocha wake Emmanuel Amunike na kumlipa pesa yake yote baada ya matokeo mabaya katika mashindano ya AFCON huko Misri, majirani zao wa Kenya inaonekana kutoweza kumfanya lolote kocha wao pamoja na matokeo mabovu ya AFCON na kutolewa na Taifa stars katika mashindani ya CHAN, huku kocha huyo akitoa maneno ya dharau kwa Kenya, kwamba haina uwezo wa kumtimua kwasababu Kenya ni masikini sana haiwezi kulipa gharama za kuvunja mkataba wake.
Huu ni muendelezo wa Kenya kushindwa kufanya maamuzi ya nchi yao kutokana na kukosa pesa yao ya ndani hivyo kutegemea pesa za mkopo, mambo yanayoifanya Kenya kudhalilishwa na wachina Mara kadhaa kama vile kuitwa "Nyani", kupewa msaada wa makopo ya bia katika jamii zinazokumbwa na njaa badala ya chakula, kuchapwa viboko wafanyakazi wakenya katika mradi wa SGR, na kunyimwa pesa ya kuifikisha SGR Malaba, badala yake kuishia porini.