joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports | HOME
Nation.Africa brings the Latest News from Kenya, Africa and the World. Get live news and latest stories from Politics, Business, Technology, Sports and more.
Huu ni muendelezo wa Kenya kushindwa kufanya maamuzi ya nchi yao kutokana na kukosa pesa yao ya ndani hivyo kutegemea pesa za mkopo, mambo yanayoifanya Kenya kudhalilishwa na wachina Mara kadhaa kama vile kuitwa "Nyani", kupewa msaada wa makopo ya bia katika jamii zinazokumbwa na njaa badala ya chakula, kuchapwa viboko wafanyakazi wakenya katika mradi wa SGR, na kunyimwa pesa ya kuifikisha SGR Malaba, badala yake kuishia porini.