Kocha wa libya; Fei toto ondoka Afrika haraka ulaya ni sehemu sahihi kwako kwa wakati huu

Kocha wa libya; Fei toto ondoka Afrika haraka ulaya ni sehemu sahihi kwako kwa wakati huu

Suala ni kuwa alikuwa mchezaji wa Yanga au kutoroka? Tunachozungumzia hapa ni kuwa ni mchezaji gani alicheza Ulaya akitokea Timu ya Yanga!
Suala ni kuwa alikuwa mchezaji wa Yanga au kutoroka? Tunachozungumzia hapa ni kuwa ni mchezaji gani alicheza Ulaya akitokea Timu ya Yanga!
suala ni kwamba yanga huwa haina tabia ya kuachia wachezaji kwenda nje,refre tegete issue ya sweden na lunyamila issue ya fc colgne msuva ndo wa kwanza kuuzwa ba yanga
 
Huyo kocha anazani ulaya unaenda tu kama unataka kwenda kawe ukwamani
 
Dogo anastahili game la mbele hapa anauliwa kipaji chake kwasababu amejumuishwa na goi-goi, anatakiwa akacheze na wakali zaidi yake wampe challenges za kumuimarisha na kuwa bora kati ya wenye viwango bora.

Ni muda muafaka wa mameneja wawacheza soka wa Tanzania kuwa serious na hii kazi kimataifa zaidi.
 
aende kwani ni nani kamuita uko ??au unataka akadhurule tu mtaani??
 
unaongea nini sasa? tunaongelea issue ya nonda ya 1996 sio samatta
international Transfer Clearance (ITC) ilitoka Yanga..unasemaje alitoroka??Born in Bujumbura, Burundi, Nonda began his career at Atlético Olympic[1] in 1992. After playing in Tanzania with Young Africans and in South Africa with Vaal Professionals, he was discovered by FIFA agent Marcelo Houseman who then placed Nonda in Switzerland with FC Zürich in 1996 ..
hiyo Wikipedia sio maneno yangu
 
wikipedia hiyo hata wewe una edit sasa hivi,lakini mbona we mbishi sana?AU NI EDIT HAPO FIFA AGENT NIWEKE BERNAD MEMBE? ITC YAKE ALICHUKULIA CONGO SIO TANZANIA,MIAKA ILE KUFANYA FORGERY ZA KIJINGA ILIKUWA RAHISI KIDOGO, UNA MIAKA MINGAPI?NAKUPA KIPANDE KIDOGO CHA STORY YA BAKARI MALIMA ALIYETOROKA NA NONDA PAPII AMBAYE HAPA ALIKUWA ANACHUKULIWA KAAMA MBURUNDI BAADAYE TUKASIKIA NI MCONGO

Alitoroka Yanga na Nonda
Unajua wakati ule Yanga tulikuwa na timu nzuri, mwaka 1996 tulikuwa tunashiriki kwenye Kombe la Washindi, tulikutana na Vaal Professional ya Afrika Kusini.
Katika mechi ya kwanza ugenini tulipata sare ya mabao 2-2, walipokuja hapa tulitoka 1-1.
Jamaa wakavutiwa na mimi Nonda Shabani ‘Papii’, wakazungumza na viongozi lakini Katibu wa Yanga, George Mpondela na katibu mwenezi wa wakati huo, John Ungelle walikataa kwa sababu ya kuhofia kufukuzwa kazi na wanachama kama wangeturuhusu.
Viongozi walituficha, tulipogundua tukaamua kutoroka kuelekea Afrika Kusini baada ya kuonana na wale viongozi wa Sauz hapa Dar.
Kutoroka halikuwa jambo rahisi, kwa sababu ilitulazimu kuvaa mavazi ambayo ilikuwa ngumu kugundulika kwa kuwa tulisafiri kwa basi mpaka Zambia halafu kule ndiyo tukapanda ndege hadi Afrika Kusini.
Yanga yamnyima ITC
Viongozi wa Yanga waligoma kutoa Hati za Uhamisho (ITC) ambazo zingeturuhusu kucheza kule kwa kuwa tulitoroka, Nonda akaamua kuomba kwao Congo, akapata.
Nikajaribu kuomba Fat (sasa hivi ni TFF), lakini Mwenyekiti Mhidin Ndolanga naye akaniwekea ngumu kwa kuwa hakuwa na ruhusa ya klabu.
Nonda alinishauri kuwa, nimwambie rafiki yake ambaye ni Mrundi ili aniombee kibali cha ukimbizi anayetokea Congo ili nipate kibali, jambo hilo lilikuwa gumu kwangu kwa kuwa nilijua kuna suala la kubadili uraia.
Mwisho wake ilibidi nirudi Bongo, cha kushangaza walinipokea vizuri na mambo yakaendelea vizuri.
Akamatwa kwa madawa, Yanga yamuokoa
Mwaka 1997 niliwaomba Yanga wasinisajili ili nirudi tena Afrika Kusini kwenye ile timu, walinielewa na kuniruhusu, nilipofika kule nikasaini mkataba wa miaka mitatu lakini sikuwa na kibali cha kufanyia kazi, nikarudi.
Sasa wakati natoka Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam, kuna mtu alinisimamisha mwanzoni nilimkatalia lakini baadaye nilikubali ambapo alinichukua mpaka ofisini kwake ila haikupita muda wakaja wenzake kama 15.
 
international Transfer Clearance (ITC) ilitoka Yanga..unasemaje alitoroka??Born in Bujumbura, Burundi, Nonda began his career at Atlético Olympic[1] in 1992. After playing in Tanzania with Young Africans and in South Africa with Vaal Professionals, he was discovered by FIFA agent Marcelo Houseman who then placed Nonda in Switzerland with FC Zürich in 1996 ..
hiyo Wikipedia sio maneno yangu

MALIMA ASIMULIA MCHEZAJI YANGA ALIVYOMKWIDA KOCHA ANGANI, RUBANI AKAISHUSHA NDEGE KIA - SALEH JEMBE
 
Sidhani kama huyu Kijana anastahili Sifa hizi kwani bado hata hajafiki 15% ya uwezo walionao Wachezaji wengi mahiri wa Viungo Tanzania.
Ahsante kwa muono sahihi mkuu.Hili ndo tatizo letu, leo Feisal anapewa sifa asizostahili, matokeo yake atabweteka na atashindwa kufikia malengo(kama anayo).
 
Tatizo huku kwetu kaka chanel ni ndogo sana,.. angalau basi wangekuwa wanaenda hata Sudan,South,Morocco n.k lkn hata huko tu napo inakuwa ngumu, sasa ulaya si ndio BIKO kabisa.
Exactly... Wanaotaka wapite kwa kuzunguka.Shaaban Nonda(Vaal Professional-South Africa) na Mbwana Samatta(TP Mazembe-Congo DRC).
 
Back
Top Bottom