Kocha wa Mamelodi amfollow Eng Hersi Said

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kocha wa timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini Rhulani Mokwena amemfuata (Follow) Rais wa Yanga SC Hersi Said @caamil_88 na CEO wa Manara TV, @hajismanara katika ukurasa wake wa Instagram.

Kocha huyo aliyekuja na kikosi chake hivi karibuni kucheza na @yangasc nchini Tanzania amewafuata baadhi ya watu wengine nchini wanaofuatilia mchezo wa soka.

Watu wengine waliofuatwa na kocha huyo ni Mwandishi wa Manara TV, @therealbertha2 , pamoja na waandishi wengine @hasheem_ibwe , @abissay_stephen na @irene_kilango09 ambao wako katika vyombo tofauti.

Nb... mangungu na try again....hawafahamiki
#ManaraTvUpdate
#ManaraTv
 
Kocha wa timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini Rhulani Mokwena amemfuata (Follow) Rais wa Yanga SC Hersi Said @caamil_88 na CEO wa Manara TV, @hajismanara katika ukurasa wake wa Instagram...

Hivi kumfollow mtu nako kunahitaji kuanzishiwa uzi? Yaani mnamzimikia Mokoena kiasi hicho cha kujisikia ufahari kuwa followed!
 
Kocha wa timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini Rhulani Mokwena amemfuata (Follow) Rais wa Yanga SC Hersi Said @caamil_88 na CEO wa Manara TV, @hajismanara katika ukurasa wake wa Instagram...
Uyo kocha atam-unfollow manara siku sio nyingi maana uko atakutana na post za mipasho na habari za zaylisa tu
 
Mkuu ujitahidi basi kuchuja vitu vya kupost, yaani kum follow mtu ndio iwe kitu cha ajabu kwani kocha wa Mamelodi ni malaika sio mtu wa kawaida? Halafu Hersi Saidi ni kiongozi wa vilabu kwa Africa ni mwenyekiti wa ACA
Unazani Kwann kamfollow hers na si try again [emoji23]
 
Hivi kumfollow mtu nako kunahitaji kuanzishiwa uzi? Yaani mnamzimikia Mokoena kiasi hicho cha kujisikia ufahari kuwa followed!
Yule ni kocha mwenye cv heavyweight
 
Kocha wa timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini Rhulani Mokwena amemfuata (Follow) Rais wa Yanga SC Hersi Said @caamil_88 na CEO wa Manara TV, @hajismanara katika ukurasa wake wa Instagram...
So what!!hii nayo ni habari?!!
 
Ikaishia wapi?
Hoja ni kujulikana kwa Simba ndio maana imeshiriki, timu Utopolo kwa vile haijulikani ilimtuma Mwana FA akawaombee nafasi ya kushiriki, walipokataliwa wakadai ni mashindano ya upinde. Tuone kama msimu ujao hawatashiriki mashindano ya " upinde"
 
huyo ni kocha makini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…