Kocha wa MAN U kuifundisha Harambee stars

Benny hata alipokuwa mchezaji Man u alikuwa tia maji tia maji
 
Ukiachana na kucheza ligi kuu ya Uingereza na timu ya Blackburn mpaka akataka kusajiliwa Chelsea. Huko alikotoka amefanya nini cha maana katika profile ya ukocha mpaka tuanze kupapatika na makocha kama huyu unayemuita mwenye CV kubwa.
Wewe hebu shika adabu yako jamaa ana ndoo ya UEFA champions league akiichezea FC Porto, kabeba ubingwa wa uholanz na ajax amsterdam....n.k
 
Nimeona heading nikajua ni Amorim au solskjaer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…