Kocha wa Marumo hajawahi kuifunga Yanga

Kocha wa Marumo hajawahi kuifunga Yanga

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Unaweza kuwa na timu Bora lakini rekodi mbaya za Kocha dhidi ya timu pinzani zikakuangusha.

Dylan Kerr hajawahi kuifunga Yanga SC. Msimu wa 2015/2016 akiwa Simba SC, Mchezo wa kwanza kafa 2-0, Mchezo wa pili kafa 2-0.

Jana akiwa Marumo 2-0.

Mweeeh!

A1A1DD6B-BB88-4445-A261-0978E46C8B3B.jpeg
 
Mimi ningempongeza Yanga kama Angekuwa Club BINGWA CAFCL.

ANACHEZA NA WANAUME AKINA .

RAJA CASABLANCA.
WYDAD CASABLANCA.
ALHALY.
ZAMALECK.
MAMELOD.
KAIZER CHEEF.
OLANDO PAIRATES.

Hakika Hilo ni kombe la looser Na Mwaka una ma looser kibao.

Timu ya kushuka Daraja PSL IMETUSUMBUA sana Jana.
 
Umekariri tu majina ya timu na sio ubora wa timu. Kama Orlando pirates na Kaizer chiefs wangekuwa wako bora basi wasingeshindwa na Marumo Gallants katika kufuzu michuano ya CAF. Hao Zamalek kabakia jina tu Pyramids yupo juu yake huko kwao na hao Pyramids wametolewa na hao hao Marumo. Kifupi umekariri tu majina makubwa ya timu lakini hujui siku hizi timu zinabidilika kuna timu zisizo na majina zinaimarika
 
Hukua na haja ya kujibu hilo ndo.ndocha/kolo
 
Simba na yanga alicheza nao mara moja huyu kocha aliondolewa baada ya mapinduzi cup ila aliwatandika yangaakiwa Gor maia ya Kenya
 
Mimi ningempongeza Yanga kama Angekuwa Club BINGWA CAFCL.

ANACHEZA NA WANAUME AKINA .

RAJA CASABLANCA.
WYDAD CASABLANCA.
ALHALY.
ZAMALECK.
MAMELOD.
KAIZER CHEEF.
OLANDO PAIRATES.

Hakika Hilo ni kombe la looser Na Mwaka una ma looser kibao.

Timu ya kushuka Daraja PSL IMETUSUMBUA sana Jana.
Hakuna lolote zaidi ya WIVU NA MAUMIVU UNAYOPATA KUMOYO unapoona Yanga imetakata. Najua mnaumia sana kuliko hata Marumo waliofungwa.

Nyie ndio mnaopata ugonjwa wa kiharusi kwasababu ya Wivu kuona mwenzako akifanikiwa.

KUKU nyie
 
Back
Top Bottom