Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Mimi ningempongeza Yanga kama Angekuwa Club BINGWA CAFCL.
ANACHEZA NA WANAUME AKINA .
RAJA CASABLANCA.
WYDAD CASABLANCA.
ALHALY.
ZAMALECK.
MAMELOD.
KAIZER CHEEF.
OLANDO PAIRATES.
Hakika Hilo ni kombe la looser Na Mwaka una ma looser kibao.
Timu ya kushuka Daraja PSL IMETUSUMBUA sana Jana.
Hukua na haja ya kujibu hilo ndo.ndocha/koloUmekariri tu majina ya timu na sio ubora wa timu. Kama Orlando pirates na Kaizer chiefs wangekuwa wako bora basi wasingeshindwa na Marumo Gallants katika kufuzu michuano ya CAF. Hao Zamalek kabakia jina tu Pyramids yupo juu yake huko kwao na hao Pyramids wametolewa na hao hao Marumo. Kifupi umekariri tu majina makubwa ya timu lakini hujui siku hizi timu zinabidilika kuna timu zisizo na majina zinaimarika
Hakuna lolote zaidi ya WIVU NA MAUMIVU UNAYOPATA KUMOYO unapoona Yanga imetakata. Najua mnaumia sana kuliko hata Marumo waliofungwa.Mimi ningempongeza Yanga kama Angekuwa Club BINGWA CAFCL.
ANACHEZA NA WANAUME AKINA .
RAJA CASABLANCA.
WYDAD CASABLANCA.
ALHALY.
ZAMALECK.
MAMELOD.
KAIZER CHEEF.
OLANDO PAIRATES.
Hakika Hilo ni kombe la looser Na Mwaka una ma looser kibao.
Timu ya kushuka Daraja PSL IMETUSUMBUA sana Jana.
Kolo kuna mabumunda mengiHukua na haja ya kujibu hilo ndo.ndocha/kolo