Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Hamna, huwezi kusema bingwa sasa hivi ilhali ligi haijafika hata nusu. Ni suala la kusubiri na kuonaNi sisi wanamsimbazi kuwa mazuzu kukataa ukweli wa tuna timu mbovu maana Mbeya City wametuzidi kila kitu.
Na Dar Young African Ni Mabingwa Msimu Huu Tena Kwa Gap La Point Nyingi.
Hv hv kwa mapambano ya Yanga Kuna mwka huu naomba unitajie hata Timu 2 zinazoweza kuifunga hii Yanga mwsho wa siku ikapoteza ubingwa kabisa...Hamna, huwezi kusema bingwa sasa hivi ilhali ligi haijafika hata nusu. Ni suala la kusubiri na kuona
Msimu Huu Lazima Young African Ashinde Goal 5 Taifa Pale Japo Mimi Ni Thimba Ila Nasema Ukweli.Hamna, huwezi kusema bingwa sasa hivi ilhali ligi haijafika hata nusu. Ni suala la kusubiri na kuona
Haaa haaa haaa NGALAWA FC nawakubali sana makolo wenzanguMsimu ulipita simba alifungwa mara 3 na bado akachukua ubingwa, nyie si wazeee wa historia ina maana mmesahau historia ya juzi hapo...