Kocha wa Mbeya City amemzidi akili Kocha wa Simba SC?

Kocha wa Mbeya City amemzidi akili Kocha wa Simba SC?

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
.
A- Kocha wa Mbeya City amemzidi Akili Kocha wa Simba Sc?
.
B- Siku mbaya Kazini kwa mnyama?
.
C- Mbeya City waliutaka mchezo zaidi ya Simba Sc?
.
D- Hangover ya Ubingwa wa Mapinduzi Cup?
.
E- Au kuna lipi jipya kiufundi ?
.
Tusaidiane mawazo wajomba.
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sisi wanamsimbazi kuwa mazuzu kukataa ukweli wa tuna timu mbovu maana Mbeya City wametuzidi kila kitu.

Na Dar Young African Ni Mabingwa Msimu Huu Tena Kwa Gap La Point Nyingi.
Hamna, huwezi kusema bingwa sasa hivi ilhali ligi haijafika hata nusu. Ni suala la kusubiri na kuona
 
Msimu uliopita simba alifungwa mara 3 na bado akachukua ubingwa, nyie si wazeee wa historia ina maana mmesahau historia ya juzi hapo?

Sasa kafungwa mara moja tu tayari mmeanza nongwa, mmesahau ni miezi kadhaa tu hapo mlimpa nabi mechi tatu za kumpima ambazo angepoteza leo hii tusingekuwa naye

Misuko suo ndo mwendo wa ngalawa
 
Kwahyo mkuu bado unatamaa ya ubingwa kwa huu moto wa Yanga..?
Duuuh mnasikitisha sana,,
Hamna, huwezi kusema bingwa sasa hivi ilhali ligi haijafika hata nusu. Ni suala la kusubiri na kuona
Hv hv kwa mapambano ya Yanga Kuna mwka huu naomba unitajie hata Timu 2 zinazoweza kuifunga hii Yanga mwsho wa siku ikapoteza ubingwa kabisa...
Yanga itaongiza hili ligi Toka Mwanzo Hadi mwsho wa msimu
 
Yaani mechi za simba zitakua kivutio kweli kweli kuanzia hiyo na mtibwa.

Kila timu itataka kushinda....ikiwa mbeya city kakomaa akiwa pungufu sisi ni nani tufungwe?
 
Back
Top Bottom