Bagabeach
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 1,124
- 2,369
Akutag nini???Akikujibu nitag mkuu
Ukweli wazi yanga ana style of playing nzuri, km mamelod
Msimu uliopita simba match 2 za kwanza tulikuwa na point 0, lkn simba alipita
Haizuii yanga kufika robo mpk semi final.
GUINNESS everything is possible