Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Koroco ndio nini?koroco
Anzania je? Katype kama yuko kwenye jogging 😂Koroco ndio nini?
😂😂😂Baada ya mechi kocha wa koroco alilianzisha ba kuanzisha fujo kama dk kumi
Nataka kuonaa hawa caf n kwa ajili ya anzania ama?
Pdidy again: mwandiko gani huu mwamba??Baada ya mechi kocha wa koroco alilianzisha ba kuanzisha fujo kama dk kumi
Nataka kuonaa hawa caf n kwa ajili ya anzania ama
Warabu hawastahili adhabu ?Hapana yeye ni mwarabu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pdidy again: mwandiko gani huu mwamba??
Warabu hawastahili adhabu ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We umekuwa mgeni kwa Pdidy?
Ndiyo zake hizo.
Ndiyo anaandikaga hivyo hivyo...Ajifunze kuandika
Ndio ni wanadamu daraja la kwanza.Warabu hawastahili adhabu ?
mbona amrouche adel naye ni wallah nabata ushungu?Hapana yeye ni mwarabu.
Mods wanamjua, huwa wanamsaidia kuandika vizuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We umekuwa mgeni kwa Pdidy?
Ndiyo zake hizo.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mods wanamjua, huwa wanamsaidia kuandika vizuri
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Anzania je? Katype kama yuko kwenye jogging [emoji23]