Hivi hawa Mikia wamekamata nchi kiasi wanafanya watakayo?Kocha wa Namungo wakati anafanya press baada ya kumaliza game yao dhidi ya Simba wameeleza kwanini walikaa nje ya dress room kipindi wameenda kupumzika baada ya first half.
kocha wa Namungo akafunguka Kama ifuatavyo tuliingia kwenye dress room tukakuta hewa sio nzuri na Wala haiyeleweki tukabidi tutoke nje kwa hiyo maelekezo ya mbinu kwa wachezaji wangu tulitoa nje ya dress room na tukaa hapo mpaka muda wetu ulipoisha wa mapumziko.
Hivi kweli walijua wataifunga simba? Kihalali au kwa mbinu chafu, hawana uwezo.Kocha wa Namungo wakati anafanya press baada ya kumaliza game yao dhidi ya Simba wameeleza kwanini walikaa nje ya dress room kipindi wameenda kupumzika baada ya first half.
kocha wa Namungo akafunguka Kama ifuatavyo tuliingia kwenye dress room tukakuta hewa sio nzuri na Wala haiyeleweki tukabidi tutoke nje kwa hiyo maelekezo ya mbinu kwa wachezaji wangu tulitoa nje ya dress room na tukaa hapo mpaka muda wetu ulipoisha wa mapumziko.
Kwamba simba kutolewa na ud songo ni kwa sababu haikutoa kitu kidogo na simba kuzicharaza mbabane swallows, nkana, al ahly, vita na kutinga quarter final CAF ni kwa sababu ilitoa kitu kidogo, kweli wewe ni shabiki maandazi.siku zote nasema ukiona simba wameshinda mechi yoyote hata kama ni ya mchangani jua kabisa 'kitu kidogo' kimetembea hapo………...
Kocha wa Namungo wakati anafanya press baada ya kumaliza game yao dhidi ya Simba wameeleza kwanini walikaa nje ya dress room kipindi wameenda kupumzika baada ya first half.
kocha wa Namungo akafunguka Kama ifuatavyo tuliingia kwenye dress room tukakuta hewa sio nzuri na Wala haiyeleweki tukabidi tutoke nje kwa hiyo maelekezo ya mbinu kwa wachezaji wangu tulitoa nje ya dress room na tukaa hapo mpaka muda wetu ulipoisha wa mapumziko.
Well said!!narudia tena kusema ligi hii ya vodacom inaendeshwa na board isiyo sahihi...watu wasio na knowledge ya kundesha mambo ya mpira wa miguu...bodi ya ligi imejaa rushwa, uhuni...na weledi mdogo wa maswala ya mpira...
ni wakati sasa TFF kama siyo inayotoa maelekezo kwa hiyo bodi kufanya uhuni inayofanya na chama cha waamuzi...watambue yote wanayofanya mda umeshafika wapenda mpira tumechoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati wanapuliziwa wao wanakuwa wapiHivi hawa Mikia wamekamata nchi kiasi wanafanya watakayo?
Wanapewa magoli ya offside na bado vyumba wanapuliza dawa. Kuna haja timu wahanga wa kupuliziwa dawa wakaindikia CAF/FIFA maana kutegemea watu wa Simba (Karia na Kidau) ku solve hili ni ndoto ya mchana.
Uwanja wa Taifa unasimamiwa na BMT na wana ofisi zao pale. Boss wao ni Simba damu. Mchezo wote unajulikana. Mtu wa BMT akijifnya neutral, anakula transfers kwa hisani ya Mzee wa Namungo.Wakati wanapuliziwa wao wanakuwa wapi
Basi wawe wanaweka mlinziUwanja wa Taifa unasimamiwa na BMT na wana ofisi zao pale. Boss wao ni Simba damu. Mchezo wote unajulikana. Mtu wa BMT akijifnya neutral, anakula transfers kwa hisani ya Mzee wa Namungo.
Uwanja wa Taifa unasimamiwa na BMT na wana ofisi zao pale. Boss wao ni Simba damu. Mchezo wote unajulikana. Mtu wa BMT akijifnya neutral, anakula transfers kwa hisani ya Mzee wa Namungo.
What is absolute nonsense is this:Mpira wa Tanzania unaponishindaga ni hapa tu. Allegetions zisizoweza kuthibitishwa kwa njia yoyote ile zimekuwa zikivumishwa kila siku. Mara dawa imepulizwa vyumbani, lakini hakuna uchunguzi unaofanyika.
Kama kweli hiyo hali ilikuwepo je kwenye match report kamisaa ali include hilp swala ili lifanyiwe kazi?
Imani za kishirikina, mara irizi mana sijui cheni kila siku ni upuuzi tu. Team fulani ikishinda basi wapinzani wataanza kulalamika mara wamelogwa mara wamewekewa dawa mara refa kawabeba. Hakuna anaekubali kufungwa.
Kwanini haya mambo hatuyasikii kwa wenzetu? Mbona wenzetu wakifungwa wanakubali?
Utterly stupid.