Kocha wa Namungo amelalamika dress room yao kupuliziwa hewa mbaya

Kocha wa Namungo amelalamika dress room yao kupuliziwa hewa mbaya

Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe.
 
Mpira wa Tanzania unaponishindaga ni hapa tu. Allegetions zisizoweza kuthibitishwa kwa njia yoyote ile zimekuwa zikivumishwa kila siku. Mara dawa imepulizwa vyumbani, lakini hakuna uchunguzi unaofanyika.

Kama kweli hiyo hali ilikuwepo je kwenye match report kamisaa ali include hilp swala ili lifanyiwe kazi?

Imani za kishirikina, mara irizi mana sijui cheni kila siku ni upuuzi tu. Team fulani ikishinda basi wapinzani wataanza kulalamika mara wamelogwa mara wamewekewa dawa mara refa kawabeba. Hakuna anaekubali kufungwa.

Kwanini haya mambo hatuyasikii kwa wenzetu? Mbona wenzetu wakifungwa wanakubali?

Utterly stupid.
kifupi ni kwamba mpira wa Tanzania upo corrupted... unaendeshwa na genge la wahuni...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matamshi ya aina hii ni kashifa kwa timu wanayocheza nayo, na pia kwa uongozi wa uwanja. Kuyakomesha ni kutoa adhabu Kali kwa wahusika, ama wanaotoa habari ikibainika ni za uongo baada ya uchunguzi wa chemicals, au uongozi wa uwanja kwani Kama ni kweli wenye nafasi kubwa ya kufanikisha hili ni wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
uY

yule aliyesema Morrison ni takataka vipi? Na aliyesema yanga ni sawa na mgonjwa na unachagua sehemu ya mwili kumchoma sindano vipi?
 
Sisi ndio wenye nchi wewe..turia kaa kimya
Hivi hawa Mikia wamekamata nchi kiasi wanafanya watakayo?

Wanapewa magoli ya offside na bado vyumba wanapuliza dawa. Kuna haja timu wahanga wa kupuliziwa dawa wakaindikia CAF/FIFA maana kutegemea watu wa Simba (Karia na Kidau) ku solve hili ni ndoto ya mchana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom