Kocha wa Polisi Morogoro afukuzwa

Kocha wa Polisi Morogoro afukuzwa

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,319
adolph.jpg



Kocha mkuu wa klabu ya Polisi Moro SC, Mohamed Rishard Adolp amefungashiwa virago na uongozi wa klabu hiyo kufuatia kile kilichoonekana kuwa timu yao kushindwa kufanya vizuri katika ligi kuu tanzania bara msimu wa mwaka 2014/2015 tofauti na malengo waliokubaliana nayo.

Kwa taarifa zaidi endelea kufuatia.

Chanzo: MatandaBlog


 
Kimsingi tunaweza kusema kwamba kocha ameshindwa kufikia matakwa ya mkataba.

Nilimsikiliza jana yeye mwenyewe, alisema kwamba mkataba aliokuwa ameingia na timu ya Polisi Morogoro ulikuwa unamtaka timu isifungwe mechi tatu mfululizo. Sasa bahati mbaya kabla ya mechi ya draw timu ilifungwa mechi tatu mfululizo.

Kwa kuzingatia matakwa ya mkataba ilibidi asimame kuifundisha timu.
 
Back
Top Bottom