Tetesi: Kocha wa Pyramid fc atishia kuondoka ikiwa Mayele atauzwa

Tetesi: Kocha wa Pyramid fc atishia kuondoka ikiwa Mayele atauzwa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kocha Mkuu Wa pyramids FC Krunoslav Jurcic [emoji1082] ameuambia Uongozi wa Pyramids kuwa ana malengo makubwa na Fiston mayele na kama watamuuza basi yeye pia ataondoka ndani ya Timu hiyo

Familia ya Kaizer Motaung ambayo ndiyo wamiliki Wa Kaizer chief walituma offer Pyramids ya Tsh Billion 6.4 kumwitaji Mshambuliaji Huyo lakini offar Yao aikujadiliwa.

Mayele amebakiza mwaka Mmoja pekee Ndani ya Timu hiyo akiwa Amefunga Magoli zaidi ya 20 kwenye mashindano yote ndani ya mwaka Msimu mmoja.

Soma Pia: Fiston Mayele kutua Kaizer Chiefs

NB: Now tumeukubali ubora wa ligi ya bongo .....as well as ubora wa Yanga as a bridge to mafanikio ya wachezaji
1724486226756.jpg
 
Kocha Mkuu Wa pyramids FC Krunoslav Jurcic [emoji1082] ameuambia Uongozi wa Pyramids kuwa ana malengo makubwa na Fiston mayele na kama watamuuza basi yeye pia ataondoka ndani ya Timu hiyo

Familia ya Kaizer Motaung ambayo ndiyo wamiliki Wa Kaizer chief walituma offer Pyramids ya Tsh Billion 6.4 kumwitaji Mshambuliaji Huyo lakini offar Yao aikujadiliwa.

Mayele amebakiza mwaka Mmoja pekee Ndani ya Timu hiyo akiwa Amefunga Magoli zaidi ya 20 kwenye mashindano yote ndani ya mwaka Msimu mmoja.

Soma Pia: Fiston Mayele kutua Kaizer Chiefs

NB: Now tumeukubali ubora wa ligi ya bongo .....as well as ubora wa Yanga as a bridge to mafanikio ya wachezaji View attachment 3077834
Mmeanza shobo vyura😂 Hamkomi?
 
Kuna watu walikuwa wanamfananisha na Saido.Saido mwenyewe sijui yupo chaka gani ......
Alipopita saido mayele kwa umri wake ni ndoto na hawezi kufika ,unafikiri mayele atacheza league 1 lini ? ,ni ujinga kumfananisha mchezaji aliyecheza league one na mchezaji anayecheza africa,bora iwe ahly angalau .
 
Alipopita saido mayele kwa umri wake ni ndoto na hawezi kufika ,unafikiri mayele atacheza league 1 ,ni ujinga kumfananisha mchezaji aliyecheza league one na mchezaji anayecheza africa
Alivyo cheza league 1 then ikawaje.........?Tunazungumzia current form ,ww unazungumzia wakati uliopita....... kwani kipindi kile alipokuwa akilinganishwa na Mayele alikuwa hajacheza League 1.
 
Alivyo cheza league 1 then ikawaje.........?
Kamuulize mayele ndoto zake kucheza wapi?kila mchezaji ndoto ni kucheza European football ni uwezo tu ndio tatizo ,ndio maana wissa yupo brentford mayele yupo pyramid ni uwezo tu
 
Kamuulize mayele ndoto zake kicheza wapi?kila mchezaji ndoto ni kucheza European football ni uwezo tu ,ndio maana wissa yupo brentford mayele yupo pyramid ni uwezo tu
Tunazungumzia current form ,ww unazungumzia wakati uliopita....... kwani kipindi kile alipokuwa akilinganishwa na Mayele alikuwa hajacheza League 1.
 
Back
Top Bottom