Tetesi: Kocha wa Pyramid fc atishia kuondoka ikiwa Mayele atauzwa

Tetesi: Kocha wa Pyramid fc atishia kuondoka ikiwa Mayele atauzwa

ikawaje.........?Tunazungumzia current form ,ww unazungumzia wakati uliopita....... kwani kipindi kile alipokuwa akilinganishwa na Mayele alikuwa hajacheza League 1.
Current form ndio vituko gani saido yupo veterans age ,ni ujinga kumlinganisha cR7 na mbape
 
Kwa hiyo tunakubalina kipindi mnamlinganisha na Mayele mlikuwa wajinga?
Nani kamlinganisha ?hii tabia jumuishi haiwezi kukusaidia .Nitajie watu wawili waliomlinganisha mayele na saidoo
 
Nani kamlinganisha ?hii tabia jumuishi haiwezi kukusaidia .Nitajie watu wawili waliomlinganisha mayele na saidoo
Sasa kilicho kufanya ureply comment yangu ni nini? Nimerusa jiwe gizani, wenyewe wanajijua .............. sababu najua wapo na threads zipo JF.
 
Back
Top Bottom