Lukub JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 3,622 Reaction score 4,100 Aug 25, 2024 #21 joseph1989 said: ikawaje.........?Tunazungumzia current form ,ww unazungumzia wakati uliopita....... kwani kipindi kile alipokuwa akilinganishwa na Mayele alikuwa hajacheza League 1. Click to expand... Current form ndio vituko gani saido yupo veterans age ,ni ujinga kumlinganisha cR7 na mbape
joseph1989 said: ikawaje.........?Tunazungumzia current form ,ww unazungumzia wakati uliopita....... kwani kipindi kile alipokuwa akilinganishwa na Mayele alikuwa hajacheza League 1. Click to expand... Current form ndio vituko gani saido yupo veterans age ,ni ujinga kumlinganisha cR7 na mbape
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Aug 25, 2024 #22 Brigedia Gen said: Majini yamemwachia Click to expand... Aliombewa na mwamposa. Ila utopolo kwa ushirikinaa
Brigedia Gen said: Majini yamemwachia Click to expand... Aliombewa na mwamposa. Ila utopolo kwa ushirikinaa
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 17,420 Reaction score 35,765 Aug 25, 2024 #23 Lukub said: Current form ndio vituko gani saido yupo veterans age ,ni ujinga kumlinganisha cR7 na mbape Click to expand... Kwa hiyo tunakubalina kipindi mnamlinganisha na Mayele mlikuwa wajinga?
Lukub said: Current form ndio vituko gani saido yupo veterans age ,ni ujinga kumlinganisha cR7 na mbape Click to expand... Kwa hiyo tunakubalina kipindi mnamlinganisha na Mayele mlikuwa wajinga?
Lukub JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 3,622 Reaction score 4,100 Aug 25, 2024 #24 joseph1989 said: Kwa hiyo tunakubalina kipindi mnamlinganisha na Mayele mlikuwa wajinga? Click to expand... Nani kamlinganisha ?hii tabia jumuishi haiwezi kukusaidia .Nitajie watu wawili waliomlinganisha mayele na saidoo
joseph1989 said: Kwa hiyo tunakubalina kipindi mnamlinganisha na Mayele mlikuwa wajinga? Click to expand... Nani kamlinganisha ?hii tabia jumuishi haiwezi kukusaidia .Nitajie watu wawili waliomlinganisha mayele na saidoo
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 17,420 Reaction score 35,765 Aug 25, 2024 #25 Lukub said: Nani kamlinganisha ?hii tabia jumuishi haiwezi kukusaidia .Nitajie watu wawili waliomlinganisha mayele na saidoo Click to expand... Sasa kilicho kufanya ureply comment yangu ni nini? Nimerusa jiwe gizani, wenyewe wanajijua .............. sababu najua wapo na threads zipo JF.
Lukub said: Nani kamlinganisha ?hii tabia jumuishi haiwezi kukusaidia .Nitajie watu wawili waliomlinganisha mayele na saidoo Click to expand... Sasa kilicho kufanya ureply comment yangu ni nini? Nimerusa jiwe gizani, wenyewe wanajijua .............. sababu najua wapo na threads zipo JF.