The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti, ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Brazil. Atachukua rasmi majukumu yake kuanzia Mei 26.
Zama zimebadilika sana ana kazi kubwa kujenga Ile teamTimu ya Brazil hauendi kufundisha, unaenda kupanga vipaji upate matokeo
Kwamba brazil itachezw na barcelona sio? Fikiri kwanza. Kabla ya msimu huu huongelei mafanikio aliyopataPoor Brazil wangejifunza kwa madrid yaani barca wanajipigia tu siku hizi daah
Kwamba brazil itachezw na barcelona sio? Fikiri kwanza. Kabla ya msimu huu huongelei mafanikio aliyopata
Tatizo sio umri, Carlo ni kocha asiye na mbinu, anategemea ubora wa mchezaji mmoja mmoja na bahatiTangu amechukua jukumu la kuifundisha Rael Madrid, ameifanya timu kuwa nyanya sana kwa Barcelona.
Wachezaji wengi wazee! Wengine ni majeruhi! Yaani klabu imekuwa kama zahanati au kambi ya kutunzia wazee!
I wish Xavi Alonso atawatimua wazee wote na pia wale wachezaji wenye majeraha sugu, na hivyo kusajili watu wa kazi wa kuirejesha Real Madrid kwenye ubora wake!
Yaani Real Madrid ni timu ya kufungwa nje ndani na timu kama Arsenal! Kweli!!!