DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Kocha wa Timu ya Taifa ya Senegal Pape Thiaw ameomba radhi mashabiki wa soka baada ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Mataifa Barani Afrika (AFCON) kumalizika wakiibuka mabingwa.
"Hatukukubali kilichotokea sitaki kuchunguza matukio yote, Ninaomba radhi kwa soka" - Pape Thiaw
Kocha Pape Thiaw aliamuru timu yake kutoka uwanjani kutokana na kutoridhidhwa na maamuzi wa Mwamuzi Jean Jacques Ndala hali iliyopelekea mchezo kusimama kwa dakika 17. Senegal walifanya kitu sahihi kutoka uwanjani?