hahah! Mkuu kwa refa tuliye naye hata Chadema wasingetoa timu uwanjani wacheze dakika 90 zote ziongezwe nyingine 30 hata wangeenda kwenye matuta refarii angeipa ushindi CCM, si unajua naye anawatunza na kuwabewa wanaomlisha na kumweka mjini!.Chadema pia walitoka uwanjani, na timu mwenyeji ikacheza yenyewe na kushinda!! Walishinda kwa mikwaju 98 dhidi ya mbili ambazo hadi tunaingia mitamboni haikujulikana nani aliyepewa hizo mbili
Moroco walifanya kosa gani?Wale Moroco wanajiona Mungu watu na hawakubali kushindwa, wakati mpira una matokeo 3
Alifanya mind game iliyosaidia, lakini ule ni uhuni. Tukisema kila muda refa anapotoa maamuzi ambayo hamjayapenda basi mtoke nje mpira utakua mchezo wa hovyo sana.Uamuzi wake ulimlipa. Ingawa kwenye upande wa fair play; kuweka mpira kwapani kwa timu, ni dalili ya woga uliopotiliza.
Kocha alitaka kuzingua sana, mpira ni business angepelekea Senegal kula ban ambayo mpaka WC
Tatizo la Chadomo wao waliingia mitini moja kwa moja halafu wanalalamikia matokeo.Ni uzwazwa kulalamikia usichoshiriki.Chadema pia walitoka uwanjani, na timu mwenyeji ikacheza yenyewe na kushinda!! Walishinda kwa mikwaju 98 dhidi ya mbili ambazo hadi tunaingia mitamboni haikujulikana nani aliyepewa hizo mbili🙄🙄🙄
Kwan morroco waarabu mkuuHANA BAYA.hao waarabu wanajiona wao ndo Kila kitu hapa Africa.na kama wangebeba tungetukanwa sana ngozi nyeus
Duuh haujui au?Kwan morroco waarabu mkuu
Kasome geography vzr mkuuDuuh haujui au?