Kocha wa Senegal Pape Thiaw awaomba radhi wanasoka

Nyinyi mnaosema kocha wa Senegal alikosea, iko siku mtashikwa makalio kwenye mwendokasi halafu mtulie tu bila kurusha ngumi.
 
Mimi naona ni vile tu Afrika ilikua upande wa Senegal. Mechi zote sijaona Morocco akipewa favor kama inavyosemwa. Hata Senegal kutoka uwanjani sikuona mantiki ya hiyo protest yao.
 
Ni shujaa atakumbukwa na kaacha legacy hata kwa wengine kwenye michuano Senegal itaogopwa kwenye vita hakuitaji huruma
 
Mimi naona ni vile tu Afrika ilikua upande wa Senegal. Mechi zote sijaona Morocco akipewa favor kama inavyosemwa. Hata Senegal kutoka uwanjani sikuona mantiki ya hiyo protest yao.
Ile penalty waliyonyimwa Taifa Stars uliiona? So kuwanyima Stars penati haikuwa in favor of Moroccans?
 
Ile sio kosa la wazi sana kusema ni lazima iwe penati, pale ni 50/50. Taifa starz pia kuna mchezaji wetu alitakiwa kupewa red card katika ile mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…