Kocha wa Simba amehujumu timu kuwatoa Chama na Morrison

Baada ya hii mechi sitarajii kama huyu jamaa ataendelea kuwepo.

Ni mpuuzi sana
Labda nikuambie kitu kimoja,

Kuna Mpira biriani, ufundi mwingi, pasi nyingi, mchezo umetulia, watu wanatandaza Samba uwanjani, kampa kampa tena, Barcelona ya Pep Guardiola watu wanapiga mpaka pasi 800+.

v/s

Mpira kukamiana, ukishika tu mpira mpinzani huyu hapa, kiatu mtu, weka ugoko niweke jiwe, heri mshambuliaji upite mpira ubaki au mpira upite mshambuliaji abaki, ulipo tupo miaka yetu tuliita "Bundesliga".

Mpira wa jana kua na faulo zote zile ni wazi uliegemea kwenye aina ya pili hapo juu. Kuna wachezaji wanamudu mifumo yote miwili na wengine kama Chama ni wazuri mfumo mmoja, ule wa kwanza.

Ndio maana hata kiwanja kikibadilika tu kikawa kama vile vya mikoani vyenye features zote za mabonde, milima, mito, tambarare basi chama hutomuona aking'ara sababu ye ni mzoefu zaidi wa ule mfumo wa kwanza.

Watu walikamiana sana, Chama yuko Kwa Mkapa, Uwanja safi sawa lakini asingeweza ku shine kwa mchezo wa jana. Kuhusu BM3 huyu ni kama alishakua Ms Jazba hivi
 
Wewe endelea kuwaza,mimi nimehitimisha kuwa wewe ni kilaza.
Wajinga wajinga wanahisi kila mtu ni mjinga Kama wao walivyo. unaongea point nyepesi tu kwamba "Morrison alishapata kadi ya njano" sijui blah blah kibao, hapa Tanzania hakuna winga mwenye madhara zaidi ya Morrison kwa kipindi hichi, kama kocha inatakiwa a deal na emotion za wachezaji solution sio kumtoa na kumuingiza mchezaji asiyekua na madhara yoyote uwanjani.

Wewe unaongelea matokeo kwamba atapigwa kadi nyekundu yani ufikirii na situation iliyopo uwanjani na kuwaza nadharia zaidi. Kama ingekua hivyo wakina Roy keane, gatusso, joey Burton ,ibramovich n.k wasingecheza mpira.

Mwambie kocha wako aache kufanya sub za hovyo zisizokua za lazima.
 
We jamaa inaonekana wewe katika ukoo wenu ndio ulisoma angalau ukawa na four ya O level.Kwa hiyo kinachokusumbua kichwani unakifanya tusi kwa usiokubaliana nao.
Pole sana kwa huu ugonjwa

Wewe endelea kuwaza,mimi nimehitimisha kuwa wewe ni kilaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…