Ondoa upuuzi wako hapa.Baada ya hii mechi sitarajii kama huyu jamaa ataendelea kuwepo.
Ni mpuuzi sana
Baada ya hii mechi sitarajii kama huyu jamaa ataendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ondoa upuuzi wako hapa.Baada ya hii mechi sitarajii kama huyu jamaa ataendelea kuwepo.
Ni mpuuzi sana
Baada ya hii mechi sitarajii kama huyu jamaa ataendelea
Uelewa wako wa soka ni zero. Umekariri majina tu hapa.Baada ya hii mechi sitarajii kama huyu jamaa ataendelea kuwepo.
Ni mpuuzi sana
Unamtaja Morrison aliyemaliza mechi kwa huruma ya Refa?Baada ya hii mechi sitarajii kama huyu jamaa ataendelea kuwepo.
Ni mpuuzi sana
Labda nikuambie kitu kimoja,Baada ya hii mechi sitarajii kama huyu jamaa ataendelea kuwepo.
Ni mpuuzi sana
Bado nawaza kiwango cha akili yako ulipoishia.Wewe kacheze mdako tu ndiyo saizi yako.
Mngefungwa Jana saa hizi mngekuwa airport na virago vyake mnamsindikizaKocha wa simba simuelewi basi tu
Wajinga wajinga wanahisi kila mtu ni mjinga Kama wao walivyo. unaongea point nyepesi tu kwamba "Morrison alishapata kadi ya njano" sijui blah blah kibao, hapa Tanzania hakuna winga mwenye madhara zaidi ya Morrison kwa kipindi hichi, kama kocha inatakiwa a deal na emotion za wachezaji solution sio kumtoa na kumuingiza mchezaji asiyekua na madhara yoyote uwanjani.Wewe endelea kuwaza,mimi nimehitimisha kuwa wewe ni kilaza.
SawaWewe ni kilaza. Case closed.
Wewe endelea kuwaza,mimi nimehitimisha kuwa wewe ni kilaza.