Kocha wa Simba amemdhalilisha Pascal Wawa, jambo hili halikubaliki

Kama yale yaliyofanyika ni ya haki basi kweli mimi ni empty , bali itakuwa maajabu sana kwa Mimi mfadhili wa simba kutokujua soka ila kapuku kawoli ndiye ajue !
Kwani kufadhili soka ndio kujua soka. Wanaojua soka wanafadhili kukuza vipaji vya soka wengine hawa wanataka mileage pana ya kujitangaza kibiashara tuu. GSM anajulia wapi soka? Msome huyo hapo kwa hsaidizi kidogo[emoji116][emoji116][emoji116]
 

pitia humu utakuta maelezo
 
uliwahi kuona kocha yeyote akifanya utopolo wa huyu kocha mahali popote , hivi huyu kocha ni mzima kweli ?
 
Uyu kocha anatabia mbovu, ata utolewe ufafanuzi wa namna gani kile alichokifanya ndio tabia halisi, Kwakua utovu wa adabu ni tabia yake, kunasiku atafanya Jambo la hovyo zaidi. Ni swala la muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…