Kocha wa Simba amemdhalilisha Pascal Wawa, jambo hili halikubaliki

Kocha wa Simba amemdhalilisha Pascal Wawa, jambo hili halikubaliki

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hivi yule kocha kufanya udhalilishaji ule alikuwa ana maana gani ? Hata kama hamtaki Wawa lakini si kwa unyama aliofanya.

Kiukweli nikiri kwamba jambo kama hili sijawahi kuliona kwenye soka, ni aibu sana.

Pamoja_na_yote_yaliyoendelea....alipiga_kimya_tu..angemaindi_tungemuelewa_lakini_aliamua_kupig...jpg
 
Kama yale yaliyofanyika ni ya haki basi kweli mimi ni empty , bali itakuwa maajabu sana kwa Mimi mfadhili wa simba kutokujua soka ila kapuku kawoli ndiye ajue !
Kwani kufadhili soka ndio kujua soka. Wanaojua soka wanafadhili kukuza vipaji vya soka wengine hawa wanataka mileage pana ya kujitangaza kibiashara tuu. GSM anajulia wapi soka? Msome huyo hapo kwa hsaidizi kidogo[emoji116][emoji116][emoji116]
IMG-20211224-WA0029.jpg
 

pitia humu utakuta maelezo
 
Kwani kufadhili soka ndio kujua soka. Wanaojua soka wanafadhili kukuza vipaji vya soka wengine hawa wanataka mileage pana ya kujitangaza kibiashara tuu. GSM anajulia wapi soka? Msome huyo hapo kwa hsaidizi kidogo[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2056186
uliwahi kuona kocha yeyote akifanya utopolo wa huyu kocha mahali popote , hivi huyu kocha ni mzima kweli ?
 
Uyu kocha anatabia mbovu, ata utolewe ufafanuzi wa namna gani kile alichokifanya ndio tabia halisi, Kwakua utovu wa adabu ni tabia yake, kunasiku atafanya Jambo la hovyo zaidi. Ni swala la muda tu.
 
Back
Top Bottom