Kocha wa Simba amemdhalilisha Pascal Wawa, jambo hili halikubaliki

Sijaona logic yako zaidi ya ujinga tu, kitendo cha kocha kimeonekana wazi kuwa ni extrovert. Hata hivi bro hakuna sehemu kocha atapata excuse kwa reaction yake zidi ya Pascal wawa hakipo professional kabisa. Kocha pamoja na kazi zingine pia Ni mlezi wa career za wachezaji hivyo kitendo alichofanya sio cha kiungwana hata kama Kuna makosa yalitokea. Jaribu kuvaa viatu vya Pascal wawa Kisha uone kama kocha alifanya fair
 
Aache kulalamika wawa , uje ulalamike wewe ambaye wawa hakupi hata mia mbovu ya mshahara wake...
Bro kuna vitu vingine vinauma hata kama ungekuwa wewe. Kwa proffessional kocha hatutarajii reaction mbovu kama ile inaharibu career ya mchezaji.
 
Baada ya kuona maelezo ya kocha nimeelewa mantiki ya kocha kufanya vile......maamuzi ya mwamuzi yamevuruga mipango ya kocha na timu kwa ujumla.......lile tukio lingeweza kuigharimu timu.......

Ile reaction ya kocha imeakisi ukubwa wa mchezo na uhitaji wa matokeo........
 
Uyu kocha anatabia mbovu, ata utolewe ufafanuzi wa namna gani kile alichokifanya ndio tabia halisi, Kwakua utovu wa adabu ni tabia yake, kunasiku atafanya Jambo la hovyo zaidi. Ni swala la muda tu.
wakati Simba inapokonywa point mngekuwa ndani na wake zenu
 
We jamaa una mavi kwenye bichwa yako, wewe unaona alichofanya kocha ni sawa. Unajifanya shabiki wa litimu lako takataka unaonekana mbugila. Huna macho alichofanyiwa Pascal ungekuwa wewe ungeongea utopolo wako hapa. Matimu yenu simba na Yanga Ni ushuzi tu zimewafanya mnakuwa wajinga
 
ukituliza kichwa utagundua wewe ndio una mavi kichwani. Wawa aliyeelewa kocha alitaka nini,hana shida. wenye shida ni nyinyi vimba macho
 
Wakati mwingine kuficha ujinga wako ni busara zaidi. Haya subiria pilau la krismas kwa shemeji yako uvimbiwe ukalale
 
Mikia mbona mnakuza hii kitu wakati kocha wenu kalitolea ufafanuzi.
 
Hivi yule kocha kufanya udhalilishaji ule alikuwa ana maana gani ? Hata kama hamtaki Wawa lakini si kwa unyama aliofanya.

Kiukweli nikiri kwamba jambo kama hili sijawahi kuliona kwenye soka, ni aibu sana.

View attachment 2056182
Acha kukurupuka . Kitu kama hujui ni vema ukanyamaza. Hizi akili za kisukule mbona zinazidi kutamalaki Sana huko usukuleni?
 
Mleta mada nadhani atakua keshafatilia na keshajua tatizo lilikua ni kitu gani,ni vema ange apdate uzi wake ili kurekebisha alichoandika Erythrocyte
 
Kocha amefanya upuuzi na hakuna Namna ya kutetea upuuzi zaidi ya kutoka hadharani na kuomba radhi.
 
Sijui kwanini anatafuta justifications ya matendo yake na kumfanya Wawa kama collateral damage wakati angeweza publicly apologize kwa Wawa na kumaliza huu mjadala
 
Umeandika kwa busara sana na umeandika facts ambazo weng wanaoendeshwa kwa hisia hawawezi elewa
 
Mimi ndo ningekuwa kocha nahisi ningeweza fanya zaidi alofanya maana kama naona pale alikuwa mpole
Mi nahisi ningeanza na waamuzi. Kitendo alichokifanya ni kuharibu mipango ya kocha pamoja na bench la ufundi
Leo ungekuta kmc wanapiga mipango ya kupeleka malalamiko yao TFF kama wale wachezaji wangeingia mmoja mmoja

Tuwe wapole wapenzi mashabiki pia wapiga makelele
Ila wapiga makelele ndio wanaongoza kuwasemea watu. Mbona taarifa kamili imetoka kwa chanzo husikaaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…