Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaona logic yako zaidi ya ujinga tu, kitendo cha kocha kimeonekana wazi kuwa ni extrovert. Hata hivi bro hakuna sehemu kocha atapata excuse kwa reaction yake zidi ya Pascal wawa hakipo professional kabisa. Kocha pamoja na kazi zingine pia Ni mlezi wa career za wachezaji hivyo kitendo alichofanya sio cha kiungwana hata kama Kuna makosa yalitokea. Jaribu kuvaa viatu vya Pascal wawa Kisha uone kama kocha alifanya fairKwani kufadhili soka ndio kujua soka. Wanaojua soka wanafadhili kukuza vipaji vya soka wengine hawa wanataka mileage pana ya kujitangaza kibiashara tuu. GSM anajulia wapi soka? Msome huyo hapo kwa hsaidizi kidogo[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2056186
Bro kuna vitu vingine vinauma hata kama ungekuwa wewe. Kwa proffessional kocha hatutarajii reaction mbovu kama ile inaharibu career ya mchezaji.Aache kulalamika wawa , uje ulalamike wewe ambaye wawa hakupi hata mia mbovu ya mshahara wake...
wakati Simba inapokonywa point mngekuwa ndani na wake zenuUyu kocha anatabia mbovu, ata utolewe ufafanuzi wa namna gani kile alichokifanya ndio tabia halisi, Kwakua utovu wa adabu ni tabia yake, kunasiku atafanya Jambo la hovyo zaidi. Ni swala la muda tu.
We jamaa una mavi kwenye bichwa yako, wewe unaona alichofanya kocha ni sawa. Unajifanya shabiki wa litimu lako takataka unaonekana mbugila. Huna macho alichofanyiwa Pascal ungekuwa wewe ungeongea utopolo wako hapa. Matimu yenu simba na Yanga Ni ushuzi tu zimewafanya mnakuwa wajingaNakukumbusha
Kmc 1 Simba 4!
Pia nakukumbusha
Kmc 0 utopolo 2
Mlitaka aingize sub zizidi ili mje mseme kocha mbumbumbu[emoji3] mmekwama! Tuna kazi na yule refa alioamua kuruhusu wachezaji nusunusu kuingia ili atuvuruge!
Ufafanuzi umetolewa na watu wa mpira wameuelewa inatosha ninyi msioelewa endeleeni kupiga soga!
ukituliza kichwa utagundua wewe ndio una mavi kichwani. Wawa aliyeelewa kocha alitaka nini,hana shida. wenye shida ni nyinyi vimba machoWe jamaa una mavi kwenye bichwa yako, wewe unaona alichofanya kocha ni sawa. Unajifanya shabiki wa litimu lako takataka unaonekana mbugila. Huna macho alichofanyiwa Pascal ungekuwa wewe ungeongea utopolo wako hapa. Matimu yenu simba na Yanga Ni ushuzi tu zimewafanya mnakuwa wajinga
Wakati mwingine kuficha ujinga wako ni busara zaidi. Haya subiria pilau la krismas kwa shemeji yako uvimbiwe ukalaleSijaona logic yako zaidi ya ujinga tu, kitendo cha kocha kimeonekana wazi kuwa ni extrovert. Hata hivi bro hakuna sehemu kocha atapata excuse kwa reaction yake zidi ya Pascal wawa hakipo professional kabisa. Kocha pamoja na kazi zingine pia Ni mlezi wa career za wachezaji hivyo kitendo alichofanya sio cha kiungwana hata kama Kuna makosa yalitokea. Jaribu kuvaa viatu vya Pascal wawa Kisha uone kama kocha alifanya fair
Huyo mleta mada ni Mpalange FC mwenzakoMikia mbona mnakuza hii kitu wakati kocha wenu kalitolea ufafanuzi.
Acha kukurupuka . Kitu kama hujui ni vema ukanyamaza. Hizi akili za kisukule mbona zinazidi kutamalaki Sana huko usukuleni?Hivi yule kocha kufanya udhalilishaji ule alikuwa ana maana gani ? Hata kama hamtaki Wawa lakini si kwa unyama aliofanya.
Kiukweli nikiri kwamba jambo kama hili sijawahi kuliona kwenye soka, ni aibu sana.
View attachment 2056182
Kama kawaida yako kukurupukaHivi yule kocha kufanya udhalilishaji ule alikuwa ana maana gani ? Hata kama hamtaki Wawa lakini si kwa unyama aliofanya.
Kiukweli nikiri kwamba jambo kama hili sijawahi kuliona kwenye soka, ni aibu sana.
View attachment 2056182
Umeandika kwa busara sana na umeandika facts ambazo weng wanaoendeshwa kwa hisia hawawezi elewaBaada ya kuona maelezo ya kocha nimeelewa mantiki ya kocha kufanya vile......maamuzi ya mwamuzi yamevuruga mipango ya kocha na timu kwa ujumla.......lile tukio lingeweza kuigharimu timu.......
Ile reaction ya kocha imeakisi ukubwa wa mchezo na uhitaji wa matokeo........