Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Rejea kocha Maurizio Sarri alivyokuwa Chelsea. Ni passion ya socceruliwahi kuona kocha yeyote akifanya utopolo wa huyu kocha mahali popote , hivi huyu kocha ni mzima kweli ?
Kama yale yaliyofanyika ni ya haki basi kweli mimi ni empty , bali itakuwa maajabu sana kwa Mimi mfadhili wa simba kutokujua soka ila kapuku kawoli ndiye ajue !
Na lack of professionalism kwa kochaNi udhalilishaji mkubwa sana ule, japo wahusika wanajaribu kufunika kombe mwanaharamu apite
Hakumsukuma mchezajiRejea kocha Maurizio Sarri alivyokuwa Chelsea. Ni passion ya soccer
Mnataka kufunika uchafu kwa faida ya nani ?Mleta mada nadhani atakua keshafatilia na keshajua tatizo lilikua ni kitu gani,ni vema ange apdate uzi wake ili kurekebisha alichoandika Erythrocyte
hujanishawishi hata chembe , lingine ambalo hulijui ni hili , huku kwetu Tandika Mwembe yanga matusi ni sehemu ya salamuYani wewe sio empty tu bali ni Negetive empty, Hicho kichwa chako ni sawa na Dustbin tu.
Kama Arsen Wenger alipiga teke chupa ya Maji Pablo ni kama nani asiirushe?
Hata sijui hawa wanatetea niniHakumsukuma mchezaji