Kocha wa Simba amemdhalilisha Pascal Wawa, jambo hili halikubaliki

Kocha wa Simba amemdhalilisha Pascal Wawa, jambo hili halikubaliki

Kama yale yaliyofanyika ni ya haki basi kweli mimi ni empty , bali itakuwa maajabu sana kwa Mimi mfadhili wa simba kutokujua soka ila kapuku kawoli ndiye ajue !

Yani wewe sio empty tu bali ni Negetive empty, Hicho kichwa chako ni sawa na Dustbin tu.
Kama Arsen Wenger alipiga teke chupa ya Maji Pablo ni kama nani asiirushe?

Yani wewe sio empty tu bali ni Negetive empty, Hicho kichwa chako ni sawa na Dustbin tu.
Kama Arsen Wenger alipiga teke chupa ya Maji Pablo ni kama nani asiirushe?

hujanishawishi hata chembe , lingine ambalo hulijui ni hili , huku kwetu Tandika Mwembe yanga matusi ni sehemu ya salamu
 
Back
Top Bottom