Kocha wa Simba amewakataa wachezaji 5 wapya

CARDLESS

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Posts
7,840
Reaction score
15,918
Ikiwa ni majira ya Saa 4 usiku huku niliko, na Saa 5 Usiku hapo Nyumbani Tanzania, napenyezewa habari nzito kidogo kutoka mitaa ya Msimbazi.

Ikiwa imepita miezi miwili tangu dirisha la usajili lifunguliwe, pilika nyingi za usajili zilifanyika, Umafia, ubabe, ukatili na hata jeuri ya fedha imetumika kwa baadhi ya vilabu katika kuboresha au kusuka vikosi vyao.

Vilabu karibu vyote vilisajili kulingana na matakwa ya kocha kwa angalau 70% ya sajili mpya. Changamoto ilikuwa pale kwa wana LUNYASI ambapo, Magori, TRY AGAIN, BARBARA na MANGUNGU walipoingia sokoni kusaka vipaji wakati inajulikana wazi wao si fani zao.

Habari hii inaeleza kuwa kocha mpya wa SIMBA, Mr ZORAN MAKI ameweka mezani majina ma5 ya mastaa wapya kuwa hao hawataki na hawapo kwenye mpango wake, na kwamba watafutiwe timu haraka sana, bila kujali hasara iliyopata klabu hii kongwe.

Wachezaji hao ni kama ifuatavyo

1. Nassoro Kapama
2. Victor Akpan
3. Moses Phiri
4. Onyango
5. Kyombo

Ametanabaisha kuwa wachezaji aliosuggest yeye ndio muhimu zaidi ambapo mmoja wao ni DEJAN.

Niwatakie usiku mwema, nami ndio niko JOBURG TAX RANK hapa najisogeza mtaani kuegesha mgongo.
 
Pyongyang ulishahama mkuu
 
Huna ukijuacho na nikusaidie tu ya kwamba Mchezaji pekee asiyetakiwa na Kocha ( nikimaanisha hajakubali Uwezo wake ) ni Mnaijeria Kiungo Victor Agban na ndiyo huenda akampisha Mshambuliaji Ceaser Lobi Manzoki anayetambulishwa rasmi na Simba SC Kesho Saa 5 Asubuhi.
 
Huna ukijuacho na nikusaidie tu ya kwamba Mchezaji pekee asiyetakiaa na Kocha ( nikimaanisha hajakubali Uwezo wake ) ni Mnaijeria Kiungo Victor Agban na ndiyo huenda akampisha Mshambuliaji Ceaser Lobi Manzoki anayetambulishwa rasmi na Simba SC Kesho Saa 5 Asubuhi.
Haya Barbara haipingwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Huna ukijuacho na nikusaidie tu ya kwamba Mchezaji pekee asiyetakiwa na Kocha ( nikimaanisha hajakubali Uwezo wake ) ni Mnaijeria Kiungo Victor Agban na ndiyo huenda akampisha Mshambuliaji Ceaser Lobi Manzoki anayetambulishwa rasmi na Simba SC Kesho Saa 5 Asubuhi.
mhhhhhhhhhh
 
Attachments

  • IMG_20220819_000914.jpg
    IMG_20220819_000914.jpg
    122.9 KB · Views: 2
Ikiwa ni majira ya Saa 4 usiku huku niliko, na Saa 5 Usiku hapo Nyumbani Tanzania, napenyezewa habari nzito kidogo kutoka mitaa ya Msimbazi.

Ikiwa imepita miezi miwili tangu dirisha la usajili lifunguliwe, pilika nyingi za usajili zilifanyika, Umafia, ubabe, ukatili na hata jeuri ya fedha imetumika kwa baadhi ya vilabu katika kuboresha au kusuka vikosi vyao.

Vilabu karibu vyote vilisajili kulingana na matakwa ya kocha kwa angalau 70% ya sajili mpya. Changamoto ilikuwa pale kwa wana LUNYASI ambapo, Magori, TRY AGAIN, BARBARA na MANGUNGU walipoingia sokoni kusaka vipaji wakati inajulikana wazi wao si fani zao.

Habari hii inaeleza kuwa kocha mpya wa SIMBA, Mr ZORAN MAKI ameweka mezani majina ma5 ya mastaa wapya kuwa hao hawataki na hawapo kwenye mpango wake, na kwamba watafutiwe timu haraka sana, bila kujali hasara iliyopata klabu hii kongwe.

Wachezaji hao ni kama ifuatavyo

1. Nassoro Kapama
2. Victor Akpan
3. Moses Phiri
4. Onyango
5. Kyombo

Ametanabaisha kuwa wachezaji aliosuggest yeye ndio muhimu zaidi ambapo mmoja wao ni DEJAN.

Niwatakie usiku mwema, nami ndio niko JOBURG TAX RANK hapa najisogeza mtaani kuegesha mgongo.
Yaani amkatae Moses amkubali Dejan?

Kuna wakati unaweza kuwa kichaa ukakubali ushauri wa mpumbavu lakini kwa hili,Simba wakikubali,watakuwa sawa na maiti isiyo na ufahamu hata kidogo
 
Eti amkatae phiri???hv huju kijana anamjua phiri kweli huyu dah vijana hawajui soka sjui wanashabikia mchezo gani
 
Simba kinacho wakwamisha ni fedha, kwasasa fedha za usajili hakuna. M- bet walisain mkataba wa 12.5 b Kwa miaka 5.
Na iliwalazimu Simba ku sign mapema Dili la M-bet kwakua muda wa usajili ulifika na hawakua na fedha.
MO alishagoma kutoa fedha akimwambia Barbara klabu ijiendeshe Kwa kipato chake.
Installment ya Fedha za M-bet ndio zilizo sajili Sasa mzigo umekata na usajili umefanikiwa Kwa 60%.
Bahati mbaya Mashabiki wameambiwa mkataba wa M-bet ni Bilion 26 Ili ionekane wameizidi Yanga, Sasa kamba walizotengeneza Kwa kudanganya umma zinawafunga wenyewe.
Muda si mrefu kilakitu kitakua Hadharani.
 
Simba kinacho wakwamisha ni fedha, kwasasa fedha za usajili hakuna. M- bet walisain mkataba wa 12.5 b Kwa miaka 5.
Na iliwalazimu Simba ku sign mapema Dili la M-bet kwakua muda wa usajili ulifika na hawakua na fedha.
MO alishagoma kutoa fedha akimwambia Barbara klabu ijiendeshe Kwa kipato chake.
Installment ya Fedha za M-bet ndio zilizo sajili Sasa mzigo umekata na usajili umefanikiwa Kwa 60%.
Bahati mbaya Mashabiki wameambiwa mkatabwa M-bet ni Bilion 26 Ili ionekane wameizidi Yanga, Sasa kamba walizotengeneza Kwa kudanganya umma zinawafunga wenyewe.
Muda si mrefu kilakitu kitakua Hadharani.
Yani kwa umbea hamjambo yani unavyoandika kama ulikua pembeni wakati wakifanya mipango yao.
 
Back
Top Bottom