Kocha wa Simba amewakataa wachezaji 5 wapya

Simba kinacho wakwamisha ni fedha, kwasasa fedha za usajili hakuna. M- bet walisain mkataba wa 12.5 b Kwa miaka 5.
Na iliwalazimu Simba ku sign mapema Dili la M-bet kwakua muda wa usajili ulifika na hawakua na fedha.
MO alishagoma kutoa fedha akimwambia Barbara klabu ijiendeshe Kwa kipato chake.
Installment ya Fedha za M-bet ndio zilizo sajili Sasa mzigo umekata na usajili umefanikiwa Kwa 60%.
Bahati mbaya Mashabiki wameambiwa mkataba wa M-bet ni Bilion 26 Ili ionekane wameizidi Yanga, Sasa kamba walizotengeneza Kwa kudanganya umma zinawafunga wenyewe.
Muda si mrefu kilakitu kitakua Hadharani.
Hawatakuelewa Ila Kuna jamaa yangu yupo TRA aliniambia Kama ulivyosemw wewe
 
Kozi?

Ebu kua na utu wewe Aganile si umeenda kubeba box botswana wewe
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Kanchi kale nikabebe box kweli? Si bora niuze matunda South Africa?? Maana matunda yanalipa sana
 
Simba kinacho wakwamisha ni fedha, kwasasa fedha za usajili hakuna. M- bet walisain mkataba wa 12.5 b Kwa miaka 5.
Na iliwalazimu Simba ku sign mapema Dili la M-bet kwakua muda wa usajili ulifika na hawakua na fedha.
MO alishagoma kutoa fedha akimwambia Barbara klabu ijiendeshe Kwa kipato chake.
Installment ya Fedha za M-bet ndio zilizo sajili Sasa mzigo umekata na usajili umefanikiwa Kwa 60%.
Bahati mbaya Mashabiki wameambiwa mkataba wa M-bet ni Bilion 26 Ili ionekane wameizidi Yanga, Sasa kamba walizotengeneza Kwa kudanganya umma zinawafunga wenyewe.
Muda si mrefu kilakitu kitakua Hadharani.
Propoganda iliyochanganyikana na harufu ya kinyesi kilichopo kwenye chupi ndiyo hii sasa.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Ikiwa ni majira ya Saa 4 usiku huku niliko, na Saa 5 Usiku hapo Nyumbani Tanzania, napenyezewa habari nzito kidogo kutoka mitaa ya Msimbazi.

Ikiwa imepita miezi miwili tangu dirisha la usajili lifunguliwe, pilika nyingi za usajili zilifanyika, Umafia, ubabe, ukatili na hata jeuri ya fedha imetumika kwa baadhi ya vilabu katika kuboresha au kusuka vikosi vyao.

Vilabu karibu vyote vilisajili kulingana na matakwa ya kocha kwa angalau 70% ya sajili mpya. Changamoto ilikuwa pale kwa wana LUNYASI ambapo, Magori, TRY AGAIN, BARBARA na MANGUNGU walipoingia sokoni kusaka vipaji wakati inajulikana wazi wao si fani zao.

Habari hii inaeleza kuwa kocha mpya wa SIMBA, Mr ZORAN MAKI ameweka mezani majina ma5 ya mastaa wapya kuwa hao hawataki na hawapo kwenye mpango wake, na kwamba watafutiwe timu haraka sana, bila kujali hasara iliyopata klabu hii kongwe.

Wachezaji hao ni kama ifuatavyo

1. Nassoro Kapama
2. Victor Akpan
3. Moses Phiri
4. Onyango
5. Kyombo

Ametanabaisha kuwa wachezaji aliosuggest yeye ndio muhimu zaidi ambapo mmoja wao ni DEJAN.

Niwatakie usiku mwema, nami ndio niko JOBURG TAX RANK hapa najisogeza mtaani kuegesha mgongo.
Sasa mbona Phili alicheza? Acheni

Back
Top Bottom