Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Kishingo sio kocha ni mkamua juice za miwa huko kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kishingo sio kocha ni mkamua juice za miwa huko kwao
Wanaongozwa na mihemuko sana professional imepungua Senzo aliwasaidia sana nadhani sasa ndio muda muuafaka wa wao kujitafakari, kama wanategemea mauzo ya jezi pekee watafanikiwa lakini kama maendeleo ya timu waondoe ujinga kwanza kwenye vichwa vyaoMsimamo wangu unabaki hivyo siku zote. Simba haina kocha,ina mzungu mwenye idea ya ukocha
Naaam utabiri umetimia sasaHii simba inayokwenda kushiriki champions league ndii ina mabeki wachovu namna hii kumbuka game nyingi za huko utakazo kutanazo zinafanania na hizi ambazo yanga amekutia presha.
Viungo wa simba wamebaki jina tu pale wamebaki kuwa maaarufu wa kucheza na timu ndogo na kuzionesha umwamba utakutana tena na waarabu sababu sijui itakuwa ni ipi
Simba inamuhitaji zaidi fraga kuliko hata muzamiru huo ndio utakuwa ukweli miaka yote ili wawa acheze vizuri fraga amkabie vile vile kiungo ya simba inamuhitaji zaidi huyu mtu angalau ndio wanaweza kumaintain kukaba na kushambulia Because he is real machine anawafutia makosa wachezaji wengi tu pale. Wengi wanaendelea kumuota kotei lakini mnasahau kwamba fraga ni mzuri kuliko hata huyo kotei duh,ugua pole fraga.
Wewe kocha wewe timu inazidi kupoteza fighting spirit kila siku wachezaji wanakuwa wamerelax hata husukumo golini kwa mpinzani ni wa kusua sua ukikutana na timu za ligi ya mabingwa watakuonesha matatizo yako vizuri
..........................
George Masatu kaongeza msumari kwenye
Watafute mtu wa kueleweka waache ubabaishajiNaaam utabiri umetimia sasa