Kocha wa Simba anza kuandaa begi lako upepo lazima ukuchukuwe

Msimamo wangu unabaki hivyo siku zote. Simba haina kocha,ina mzungu mwenye idea ya ukocha
Wanaongozwa na mihemuko sana professional imepungua Senzo aliwasaidia sana nadhani sasa ndio muda muuafaka wa wao kujitafakari, kama wanategemea mauzo ya jezi pekee watafanikiwa lakini kama maendeleo ya timu waondoe ujinga kwanza kwenye vichwa vyao
 
Naaam utabiri umetimia sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…