Trump Jr
Member
- Jan 19, 2017
- 26
- 35
Bwana Zoran anatumia muda mwingi kuwaaminisha viongozi wa Simba SC pamoja na mamilioni ya mashabiki mtaa wa Msimbazi kwamba striker Dejan ni bonge la striker wa kutumainiwa katika kikosi cha Msimbazi msimu huu.
Mpaka sasa, Dejan ameonesha uwezo sawa na wachezaji wetu wa ndani, kama bado anakitu cha kutuonesha labda tumpe muda wa ziada lakini kwa sasa tunaweza kusema ni mchezaji wa kawaida kabisa.
Harufu ya ubaguzi ndani ya kikosi cha Simba inanukia, Zoran anawapiga benchi wachezaji waliotamba msimu uliopita kwa mfano Akpan, lakini na wachezaji nao wakiwa uwanjani utaona hawampatii pasi nzuri Dejan ili lengo la Zoran litimie, kuna muda tunashindwa kujaji uwezo wa Dejan kwa ushahidi wa asilimia 100 kwani kwenye maeneo ya nafasi za wazi bado Dejan hapewi pasi za mwisho nzuri.
SIMBA SPORTS CLUB WAKE-UP!