Booster12
Member
- Apr 27, 2022
- 15
- 16
Na ndio uhalisia upo ivyoLabda wenzake washamjua, ni mwepesi kupoteza mipira, kwa hiyo inakuwa ngumu kumpa pasi ili ipotee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio uhalisia upo ivyoLabda wenzake washamjua, ni mwepesi kupoteza mipira, kwa hiyo inakuwa ngumu kumpa pasi ili ipotee.
Anapewa pasi lawama impossible anglesKama hivyo ndivyo Basi Kuna tatizo kubwa. Lakini mbona pasi anapewa? Au Mimi ndiyo macho yangu hayaoni vizuri
Utopolo mbona mnawashwa sana na mambo ya Simba? Kila anayeamka na hang'over ya mipombe michafu lazima aje apumulie humu.Bwana Zoran anatumia muda mwingi kuwaaminisha viongozi wa Simba SC pamoja na mamilioni ya mashabiki mtaa wa Msimbazi kwamba striker Dejan ni bonge la striker wa kutumainiwa katika kikosi cha Msimbazi msimu huu.
Mpaka sasa, Dejan ameonesha uwezo sawa na wachezaji wetu wa ndani, kama bado anakitu cha kutuonesha labda tumpe muda wa ziada lakini kwa sasa tunaweza kusema ni mchezaji wa kawaida kabisa.
Harufu ya ubaguzi ndani ya kikosi cha Simba inanukia, Zoran anawapiga benchi wachezaji waliotamba msimu uliopita kwa mfano Akpan, lakini na wachezaji nao wakiwa uwanjani utaona hawampatii pasi nzuri Dejan ili lengo la Zoran litimie, kuna muda tunashindwa kujaji uwezo wa Dejan kwa ushahidi wa asilimia 100 kwani kwenye maeneo ya nafasi za wazi bado Dejan hapewi pasi za mwisho nzuri.
SIMBA SPORTS CLUB WAKE-UP!
Utopwinyo mnawashwa sana na SimbaKocha akiondoka ataondoka na huyo Mpwa wake!
Pole kwa kupigwa kifungo!