Kocha wa Simba atimuliwe

Hata yule kocha wa,kongo pia alitimuliwa simba
 
Simba timu ya kawaida ni yule Msomali anawabeba tu..ila sasa Takukuru wanaenda viwanjani mtazoea tu mikia nyie
 
Siku Chura FC mkija kuchukua ubingwa wa TPL mbona tutakoma aisee! Yaani Lunyasi kutoka sare tu na timu iliyowapapasa nyie imekua shangwe kubwa sana pale kwenye Jangwa la kulimia mpunga na nyanya🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…