tropa92
Senior Member
- Jan 25, 2017
- 156
- 217
Hata yule kocha wa,kongo pia alitimuliwa simba
ndiyo maana hili li tim haliwezi endelea hata siku moja, ukisikia limeshinda kaa ukijua wamenunua refa au tim pinzan au sumu ya kutosha imepulizwa vyumbani, yaani hawana lolote uwanjani ndiyo maana kila leo ni kutimua makocha tuu, makocha wanaowafaa ni akina 'matolaa'